Moja ya sifa kuu ya mashabiki wa huyo ni kundi flan la watu kama mahousigali,walioko kwenye balehe au kuvunja ungo na kama mtu ni mzima basi ni wale kula kulala,hawana muda wa kufikiria maisha.
Kwa wenye kujitambua/akili hawapendi mtu mwenye kujikweza kwa mambo ya kijinga.Leo habari zako za ngono zinakuwa ni habari za kitaifa kana kwamba ni yeye tu mwenye mapumbu.
Watu wanasema ana dharau,...hawasemi dharau gani hasa ....huu ni mwendelezo wa akili za kipoyoyo tulizozioea kuziona kwetu uswahilini....i.e mtu akifanikiwa unamuundia zengwee halafu unashindwa kulitetea.
Anyway_hata mm namkubali Kiba kuliko domo ila kwa hili mimi siko upsnde huo
tatizo ni dharau na kujiona yupo juu ya tanzania mbona mwanzoni walikua wanambeba juu juu imekuaje jana itakua ametukana wakubwa waliotangulia
atakae kupandisha ndie atakaekushusha - lord eyes
kweli ilikuwa hatari mvuta bangi wa atlanta kaamua kuporomosha matusi kama kameza kamusi ya matusi: "bad bitches make some noise" midume inaitikia oyooooooooo yani full vituko....achilia mbali hizo ---- na mazafanta kama ndio wimbo wa taifa....jamaaa anatukana acha kabisa
Diamond ni msanii mwenye kipaji thabiti anastahili Sifa kwa hilo .
Tatizo lake amejisahau kuwa umaarufu alionao ndani na nje ya nchi unatokana na watanzania tena wengne wa kipato cha chini.
Style yake ya maisha imebadilika sana tangu amepata umaarufu
Anasa za wanawake anaowabadilisha kila siku na kujiita majina (km sukari ya warembo). Juzi tu amehonga gari ya kifahari kwa kimada wake.
Amefikia hata kuwadharau wale aliowakuta ktk mziki wengine walisaidia kumtoa, Bob Juniour, Ally Kiba. Kwa ufupi ni aina ya watu wasio na shukrani.
Tangu ameupata umaarufu na fedha akasahau kuwa pesa hiyo nying imetoka kwa watanzania wa maisha ya kawaida, Maneno ya kejeli yanaanza mara "sifanyi shoo ya Mil 2"
Mara kupanda ma private jet, kujipa vyeo ving, kuendekeza bifu nk.
HE HAS OUTSTANDING TALENT YES, BUY HE HAS 2B A BIT HUMBLE.
Kwanza anaonekana anadharau watanzania wote maskini.
Wacha wamzomee
Haaaaa mambo ya fursa, chezea contract ya Mil 90
Mpwa uwe na adabu kwa wakubwa.
Kuna dot com mmoja amenielewesha na sasa na mimi naangalia live ila wasanii wetu wanatuangusha kuimba flash back. Ni Shaa peke yake na ndio nimemkubali ameimba live.
Na sasa Yamoto band wako on the stage wanaimba live. Napenda hii.
Dah wabongo ni mahater sana, hii ni kwenye kila jambo tuko hivi watu wengi huwa wanalalamika
Anazomewa sababu ya kiburi,kama ni mafanikio basi Mengi na Bakhresa wangekua wanazomewa
Uko sahihi mkuu, vijana wengi. Ila mimi hamna wimbo wowote wa bongo flavor si tu kwenye simu hata kwenye laptop.
Dharau gani ndugu mbona mnakuwa na roho za kwanini
Tim gani? Domo au Kiba??
Nimeipenda iyo
RIP Kanumba ,ni ww pekee ambaye hukurudi nyuma pamoja nakuzomewa eti ulichemka ENGLISH Big brother.
Kuwa msanii bongo ni kazi sana diamond piga kazi achana na hilo la jana angalia mbele
Kiba sauti nzr na mshairi mazuri ila kaza bt usitumie bif hii kurudi piga masong ya ukweli na video nzr...
USIOMBE KUWA MSANII UTATESEKA SANA
ILI UWE KIOO CHA JAMII UVUMILIE KUTUKANWA
Nyambafu.toa ijinga