Ally k je ana mashabikiiiii weeeeee
Sasa kiba jaman alie kabisa kuona watu wanamkubali lakini ye anajivutaaa
Hata Mimi huwa najiuliza kwanini ana tamani kuwa mwanaume?
Huyu feti mzuri sijui kwanini ana jiweka kidume dume
Akianza kabla ya Kiba ndo nitapata nafasi ya kumuona, lakini akianza Kiba atanisamehe Diamond atanisamehe.
Ova
Hamna hao team kiba ni mashabiki wa wote wanaimchukia Diamond
Aombe tu aanze yeye....akianza ndomo.itakula kwakeer
Huyu feti mzuri sijui kwanini ana jiweka kidume dume
Angalia sasa hapo
Hata Mimi huwa najiuliza kwanini ana tamani kuwa mwanaume?
mi team kibaaaaa
hata afunikweeeeee vp
nampenda jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii