humu ndani nasikia kuna uhuni...kweli diamond kapanic....hakuna shangwe kabisa inavyoonekana watu wamemuchoka
Mi naona kafanya poaaa kuliko kushindanaaaaa
uwii mweh poor times fm
Nipo kishumundu nafuatilia show jf
Kulikua na umuhm gani wa davido kuwemo fiesta while last yr alikuewpo...t.I alitosha tu,,huu ni uhun wa ruge kuwavurugia wenzao
Huyu Davido naye mbona wa kawaida sana.
Kumbe Davido ana dimpozi ni shiiider kapooza naye bora kiba
jamani nipo karbu na back stage hapa nasikia diamond analia
Diamond nae aachage kumtegemea Wema,,