Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 16,154
- 38,529
🎵🎵Bora ungekuwa mkanda wa DVD
Nyuma ningerudisha
Ulinifanya siambiliki sisikii
Yani ukaniviringisha
Nimeamini mpenz kunanamna
Yameungana na nyama
Hisia zanipeleka siwezi
Kumbumbuku zagandamana
Najifosi nisikate tamaa ya kupenda
Japo inaniuma kinachomiuma muda muda
Nilopoteza wee habari huna
Yaka yakanizidi nilipozama gwii gwii💔
Limenyauka warid kwankumwagiwa asidi
Jamani mapenz yanauma ah 🎵🎵
@Antoniia mje mlie hapa 😂😂nyimboyenu hii 😂😂😂
Nyuma ningerudisha
Ulinifanya siambiliki sisikii
Yani ukaniviringisha
Nimeamini mpenz kunanamna
Yameungana na nyama
Hisia zanipeleka siwezi
Kumbumbuku zagandamana
Najifosi nisikate tamaa ya kupenda
Japo inaniuma kinachomiuma muda muda
Nilopoteza wee habari huna
Yaka yakanizidi nilipozama gwii gwii💔
Limenyauka warid kwankumwagiwa asidi
Jamani mapenz yanauma ah 🎵🎵
@Antoniia mje mlie hapa 😂😂nyimboyenu hii 😂😂😂