Selfika na JF: Snap it. Show it

🎵🎵Bora ungekuwa mkanda wa DVD
Nyuma ningerudisha
Ulinifanya siambiliki sisikii
Yani ukaniviringisha
Nimeamini mpenz kunanamna
Yameungana na nyama
Hisia zanipeleka siwezi
Kumbumbuku zagandamana
Najifosi nisikate tamaa ya kupenda
Japo inaniuma kinachomiuma muda muda
Nilopoteza wee habari huna
Yaka yakanizidi nilipozama gwii gwii💔
Limenyauka warid kwankumwagiwa asidi

Jamani mapenz yanauma ah 🎵🎵
@Antoniia mje mlie hapa 😂😂nyimboyenu hii 😂😂😂
 
🎵🎵Bora ungekuwa mkanda wa DVD
Nyuma ningerudisha
Ulinifanya siambiliki sisikii
Yani ukaniviringisha
Nimeamini mpenz kunanamna
Yameungana na nyama
Hisia zanipeleka siwezi
Kumbumbuku zagandamana
Najifosi nisikate tamaa ya kupenda
Japo inaniuma kinachomiuma muda muda
Nilopoteza wee habari huna
Yaka yakanizidi nilipozama gwii gwii💔
Limenyauka warid kwankumwagiwa asidi

Jamani mapenz yanauma ah 🎵🎵
@Antonnia mje mlie hapa 😂😂nyimboyenu hii 😂😂😂
One time Nakuja na kiporo changu cha wali ndondoo hapooo😋!!
 
Back
Top Bottom