Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,096
- 61,507
Naona unataka kunizibia riziki nisiigize🤗Mwakemwake anatosha😂
Karibu Tukuyu tuvune michaichai
Tukuyu mnawahi sana Kulala usiku sijui kwanini, Kuna Siku nilikuwa natoka Matema beach, sasa bahati mbaya mafuta yameisha kwenye gari majira ya saa 12 Jioni, Kila kituo cha mafuta (Sheli) imefungwa
Nimekuja kupata mafuta kilomita chache kufika Uyole 🙌