Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
😂😂😂Wapiiii shangaziii akeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya nikupelekee studios. Mweeeeh
😂😂😂Wapiiii shangaziii akeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya nikupelekee studios. Mweeeeh
Eendiwoooooooo ndiwoooo...Raha unajipa mwenyewe ausio!!Aah wapi mm ndo nyimbo zangu helasina nianze kumsikiliza nyimbo za masikitiko tena😂😂
Marshaaalaaah....[emoji444]Dereva wa moyo wangu
Usinipeleke puta puta (Puta)
Taratibu mwenzangu
Penzi njia yenye matuta (Tuta)
Amepinga nimepinga
Penzi hamwezi futa (Futa)
Nakula kwa raha zangu
Nyama mpaka mfupa (Fupa)
Kisura cha upole
Kama mama yangu
Unifunde kwa mkole
Uwe somo yangu Talalala[emoji444]
sumbai
Nakuja Mwakaniiiii😊😊😊😊!!Tuwekeee.....!
Gina Saafi sanaa.
Antonnia daslama unakuja lini???
Sent using Jamii Forums mobile app
One time Nakuja na kiporo changu cha wali ndondoo hapooo😋!!🎵🎵Bora ungekuwa mkanda wa DVD
Nyuma ningerudisha
Ulinifanya siambiliki sisikii
Yani ukaniviringisha
Nimeamini mpenz kunanamna
Yameungana na nyama
Hisia zanipeleka siwezi
Kumbumbuku zagandamana
Najifosi nisikate tamaa ya kupenda
Japo inaniuma kinachomiuma muda muda
Nilopoteza wee habari huna
Yaka yakanizidi nilipozama gwii gwii💔
Limenyauka warid kwankumwagiwa asidi
Jamani mapenz yanauma ah 🎵🎵
@Antonnia mje mlie hapa 😂😂nyimboyenu hii 😂😂😂
Mambo ni yente
Hiko kiporo acha tu ni special sanaOne time Nakuja na kiporo changu cha wali ndondoo hapooo😋!!
Hiko kiporo acha tu ni special sana
Oya rudi mjini hizi vitu vitakuua🤣
Ndo maana tuna vitambi😂😂Acha kabisa...Ninyime vyote ila sio wali ndondo!!
Mi Pamoja na kunywa maji ya moto... mara yenye limao bilabilaaa...ni hakutokii ng'oooo!😊Ndo maana tuna vitambi😂😂
Ndiyooooh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani huna? Hata wa kuchoraaa?? PoleeeeehMahaba mtreketrezeeeeeeee[emoji4][emoji4].....
Wee Aaliyyah Hebu nitafutieni namie nipate wa kumuimbiaa udugu akee Fanya makekeee kwanii[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee Tinny bhana.Mimi siko hivyo
sitak kujidanganya ngoja niirudishe
Sinaa shougaaangu natiajee hurumaa 😊![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani huna? Hata wa kuchoraaa?? Poleeeeeh
Nyie vijanaa si hamuwatakiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimpate wapi@cocastic hatak kunipa kijana mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itaachiwa YouTube, ni wee na bundles lako tyuuh.[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]! Mkitoa singo mniite nisikilizeee!!