mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,798
Nina ugonjwa tu wa kucheka ovyoDogo mshamba_hachekwi mbona umecheka? nimemnunulia shemeji yako hiyo saa au nimepigwa?
Nina ugonjwa tu wa kucheka ovyoDogo mshamba_hachekwi mbona umecheka? nimemnunulia shemeji yako hiyo saa au nimepigwa?
Pole mdogo wangu...Nina ugonjwa tu wa kucheka ovyo
Ety including muuliza swali...Mbona sisi wanawake hapo vyote vinakua under control including muuliza swali...
Hapana ndo ukweli huo..au picha yake alimaanisha nini? Au mkewe mjamzito anashindwa kufanya kazi...😆😆😆Ety including muuliza swali...
Nimecheka mno ahahahah
Haya mambo haya mpaka yakukute mkuu
Mke wangu amejifungua siku za hivi karibuni lakini namna ya kuishi humu ndani imebadilika nasubiri mdogo ake aje week ijayo ...Hapana ndo ukweli huo..au picha yake alimaanisha nini? Au mkewe mjamzito anashindwa kufanya kazi...😆😆😆
Mahondaw 😊🔥🔥🔥🔥🔥🎵🎵Kanipaniaaaa paniaaaaa
Na hajataka kuniachiaa🎵🎵
Mrare unono wapendwa 😴💤😴💤😴💤💤💤💤!
Natural🎵🎵Kanipaniaaaa paniaaaaa
Na hajataka kuniachiaa🎵🎵
Mrare unono wapendwa 😴💤😴💤😴💤💤💤💤!
Hio siyo wanguKhaaa haujaupatia tuu aseeee....
🤣🤣🤣🤣Ndogo eeh?basi tukienda utanilipiaE
Hahahahaha..elf sabini tu
Hiyo nyuma yako ni chai
Hahahahaha🤣🤣🤣🤣Ndogo eeh?basi tukienda utanilipia
Hiyo nyuma yako ni chai
EeHiyo nyuma yako ni chai
EeHiyo nyuma yako ni chai