Selfika na JF: Snap it. Show it

kaka tuwalinde watoto wetu wa kiume (kama unae)

mimi ninaye
Upo sahihi mkuu, tuwalinde vijana. Ila huyu dogo anaanza kuweka picha za me vs me wakibusiana na kuvalishana pete sio poa hata, japo tuliopo humu ni watu wazima lakini taratibu za nchi haziruhusu mahusiano ya namna hii kuwekwa public. Sio poa hata! Moderator walifikirie hili.
 
word.....nashangaaa kuna watu wanamfurahia kabsa kuna watu na magay na wanajuta ugay wao hawako proud na wanafanya siri...

aka kakimbaumbau kanajisifia kabsa kwa dushe tamu alooh
 
Ila kitonga napo pana kisanga mmmh, nikiwa nasafiri kwenda home au kutoka home kuja huku, nikifka kitonga nakua mpolee na kusali San.
Selikali iangalie namna gan itarekebisha pale, kuepusha adha kwa wanachi wake.
Private school tukiwaambia mnaiba paper hamtaki kusema serikali tu kumekushinda.
 
IMG_20210117_093909_3.jpg
 
word.....nashangaaa kuna watu wanamfurahia kabsa kuna watu na magay na wanajuta ugay wao hawako proud na wanafanya siri...

aka kakimbaumbau kanajisifia kabsa kwa dushe tamu alooh
Sasa unataka nijichukie ili iweje? Eti wengine wanajuta labda hawana hisia hizo kiu halisia, waliingia aidha kwa kushawishiwa, tamaa, matatzo yao binafsi,

Na usitake kunifananisha na hao wengine unaowajua wee, maisha yangu binafsi kamwee hayawezi kupangwa na mwingine.

Najua unaumia na kukereka San kupitia hili, labda nikupe muongozo kuwa buzzy na watoto wako ktk malezi ili uwaepushe na hili. Sio uko buzzy kuangalia maisha ya mtoto wa mtu ambaye humjui wala hakujui, na huna faida wala hasara nae yeyote.

Halafu sijawahi kuona hoja zako ktk kupinga kile unachokusudia zaidi ya kutoa yowe zisizo na maana.

Mynd ur own bznes,
 
Private school tukiwaambia mnaiba paper hamtaki kusema serikali tu kumekushinda.
Heeh wee nan kasoma private school? Nimesoma gvt level zote, na ukosefu wa uandishi ni kawaida kwa mwanadamu yeyote,
Labda una lako jambo wee mtu. Khaaaaaah
 
Upo sahihi mkuu, tuwalinde vijana. Ila huyu dogo anaanza kuweka picha za me vs me wakibusiana na kuvalishana pete sio poa hata, japo tuliopo humu ni watu wazima lakini taratibu za nchi haziruhusu mahusiano ya namna hii kuwekwa public. Sio poa hata! Moderator walifikirie hili.
Kwahiyo ulitaka kusemaje? Km kweli hamtaki mbona kutwa kuongelea hilo suala?
Muwage buzzy na mambo ya msingi ambayo yanaleta tija kwenu, sio kuzungumzia kitu ambacho kinaonekana ni tatizo. Inakua ni unafiki tyuuh.

Kuhusu serikali na taratibu za nchi ziko wazi, na ndo maana niko makini ktk hilo, na sijawahi kukiuka, na nikupe motisha sasa, LGBT ni taasisi pana na imara iliyokuwa ktk misingi yake, na haitokuja kuanguka kamweeeh abadani Dunia igeuke Ardhi juu Anga chini.

Walinde walee, na watunze wanao vile wee unataka wawe, ila akifikia umri fulan anakua na maamuzi yake binafsi pia jua hilo.
Nikutakie malezi mema, halafu acha kuwaita Moder, hicho ni kihere here,

Relaaaaaaaaaaaax.
 
kwani Kuna nin ?
 
Back
Top Bottom