Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nashangaa unaumia wee zaid kuliko hat hao wazaz wangu.
Kwahiyo ikiwa ni hasara unapungukiwa na kuongezeka kipi?
Stress zako za maisha ndo unileteee mie? Poleeeeeeeh

Enjoy na hii engagement. View attachment 1679249
Mkuu, jamaa wa kipare anaomba kukuvalisha pete (anaomba uwe wake rasmi), si eti mkuu?
 
Me and forever
20201225_170315.jpg
 
Mkuu, jamaa wa kipare anaomba kukuvalisha pete (anaomba uwe wake rasmi), si eti mkuu?
Mie kwa mpare mbona tayari Pete nilivishwa, picha niliweka mbona hapa, tazama huko juu, ukweni nilienda huko SAME, likizo ya mwezi March nampeleka kwetu Nyanda za juu Kusini.
Na tunaishi Pa1, maisha yanaenda full burudaaaaani.

Hisia ni dhamana ya muhusika, hapaswi kuingiliwa wala kuzuiliwa.
 
unatia kinyaaa....eti pete nilivishwa

hivi ww ukoje???
 
Back
Top Bottom