donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
HAhahaMbona kunanuka kimba humu ???![]()
HAhahaMbona kunanuka kimba humu ???![]()
Muulize huyo niliye mjibu atakuambia nini kinazungumzwa.kwani Kuna nin ?
Mkuu mimi sina tatizo na wewe. Taratibu nimeanza kuona hili swala la LBQT societies Ni pana Sana. Pia Kuna watu wamezaliwa Wana hormones nyingi Sana za kike. Kuna mwamba tulisomaga nae green acres, aisee mkiwa bafuni mnaoga unaweza ukajikuta unaenda mnara. Jamaa Ana shape ya kike kabisa namba nane, mweupeee halafu sura ya mama yake kabisa. Mpaka sometimes akawa anajishtukia akawa anasubiri kuoga peke yake. So sexual orientation ain't a thing to me, namuomba tu Mola nikibahatika kupata mtoto wa kiume awe straight as f*ck maana kwenye jamii yetu acceptance ya machoko bado sanaMuulize huyo niliye mjibu atakuambia nini kinazungumzwa.
du hatari chief personally kama dogo nae ni choko Sina commentMkuu mimi sina tatizo na wewe. Taratibu nimeanza kuona hili swala la LBQT societies Ni pana Sana. Pia Kuna watu wamezaliwa Wana hormones nyingi Sana za kike. Kuna mwamba tulisomaga nae green acres, aisee mkiwa bafuni mnaoga unaweza ukajikuta unaenda mnara. Jamaa Ana shape ya kike kabisa namba nane, mweupeee halafu sura ya mama yake kabisa. Mpaka sometimes akawa anajishtukia akawa anasubiri kuoga peke yake. So sexual orientation ain't a thing to me, namuomba tu Mola nikibahatika kupata mtoto wa kiume awe straight as f*ck maana kwenye jamii yetu acceptance ya machoko bado sana
Ilikuwa ni Bus la kwenda Mwanza, nilikuta Traffic Officer ndiyo wanapima pimaNi gari ndogo au bus??
Happy New Year Bro.. Umemisika hapa.
You are missed!!
Is everything okay??
Kweli chiefdu hatari chief personally kama dogo nae ni choko Sina comment
LGBT ni suala pana sana na linahitaji tafakuri ya kina kulidadavua hadi kuja kueleweka. Na hapa nchini kwetu hili suala ni illegal kwenye jamii.Mkuu mimi sina tatizo na wewe. Taratibu nimeanza kuona hili swala la LBQT societies Ni pana Sana. Pia Kuna watu wamezaliwa Wana hormones nyingi Sana za kike. Kuna mwamba tulisomaga nae green acres, aisee mkiwa bafuni mnaoga unaweza ukajikuta unaenda mnara. Jamaa Ana shape ya kike kabisa namba nane, mweupeee halafu sura ya mama yake kabisa. Mpaka sometimes akawa anajishtukia akawa anasubiri kuoga peke yake. So sexual orientation ain't a thing to me, namuomba tu Mola nikibahatika kupata mtoto wa kiume awe straight as f*ck maana kwenye jamii yetu acceptance ya machoko bado sana
Sikupingi mkuu,bado kuna safari ndefu sana ya watu wa jamii Kama yako kua accepted kwenye society kwasababu kwa Mila na desturi, mwanamke kua na mahusiano na mwanamke mwenzake au mwanaume kwa mwanaume mwenzake it's unnatural. It's just against the nature. Bado kuna changamoto sana kwa kweli, halafu Bora hata mtu awe gay lakini anadress na kubehave like man, sio wale Kama kina dayon na kisura wa mbeyaLGBT ni suala pana sana na linahitaji tafakuri ya kina kulidadavua hadi kuja kueleweka. Na hapa nchini kwetu hili suala ni illegal kwenye jamii.
Hormonal imbalances ni tofauti na kua Gay, Kwa vipi mvulana kuwa na sura, sauti, mwendo, matendo ya kike sio uthibitisho kua n Gay. Maan kuna mtu anaweza kuwa na hiyo appearance ila akawa na mahusiano ya kimapenzi na msichana na asiwe kabisa ktk gayism relations.
kwa jamii zetu hapa nchini mvulana wa hormonal imbalances anatafsiriwa kua ni Gay, pasipo kua na uthibitisho km n kweli au lah, na ukizingatia hapa kuna changamoto za ukubalikaji wake lazima muhusika atatazamwa kwa jicho baya, hivyo muhusika anakua ktk hali dhaifu ya kujiona hana thamani mbele ya kadamnasi,
Changamoto inakuja hasa kwenye upande wa kupata Elimu especially shule ya boarding na zaidi ikiwa jinsia 1, hapa lazima muhusika ajue nafasi na thamani ktk maisha yake binafsi. Kutokana kuwa atajiona hayuko sawa na wengine hivyo kumfanya kutokua makini ktk mfumo lengwa wa Elimu.
Nashukuru Jah mie ni mtu muelewa na ninayejua nini kuhusu maisha yangu binafsi, nimekutana na changamoto nyingi ktk maisha ya jumla kwa shule nilizopita level zote (Ordinary with Advance) maana nimesoma shule za jinsia 1 tyuuh, tena advance nimesoma special school X kanda ya mashariki. Hivyo nina exposure ya kujua napigania vipi thamani na nafasi yangu ktk maisha binafsi.
Kutokana na hivyo huwa sipati shida ktk maisha kwa ujumla iwe kwa wazazi, ndugu, marafiki, watu wa karibu, na jamii yote inayonizunguka. Naishi vile me ambavyo nahitaji ili hali sivunji au kukiuka kanuni, taratibu, na sheria za chi zilizowekwa.
Hisia ni dhamana ya muhusika hapaswi kupingwa wala kuzuiliwa.
Hisia hazizuiliki. Ila faragha izingatiwe.
.............


,Unadhani nina tatizo binafsi na wewe mkuu, wala! Lakini sio sawa kuwa advocate wa LGBT kwenye society ambayo tunaona kushikishana ukuta Me vs Me sio sawa, huko chumbani fanyaneni tu coz it's your choice ila huku barabarani tuacheni jamani.Kwahiyo ulitaka kusemaje? Km kweli hamtaki mbona kutwa kuongelea hilo suala?
Muwage buzzy na mambo ya msingi ambayo yanaleta tija kwenu, sio kuzungumzia kitu ambacho kinaonekana ni tatizo. Inakua ni unafiki tyuuh.
Kuhusu serikali na taratibu za nchi ziko wazi, na ndo maana niko makini ktk hilo, na sijawahi kukiuka, na nikupe motisha sasa, LGBT ni taasisi pana na imara iliyokuwa ktk misingi yake, na haitokuja kuanguka kamweeeh abadani Dunia igeuke Ardhi juu Anga chini.
Walinde walee, na watunze wanao vile wee unataka wawe, ila akifikia umri fulan anakua na maamuzi yake binafsi pia jua hilo.
Nikutakie malezi mema, halafu acha kuwaita Moder, hicho ni kihere here,
Relaaaaaaaaaaaax.
Siwezi zungumzia dresses codes, maana kila mtu ana upeo na ufahamu wake binafsi ktk kuchanganua jambo husika, na mie siwezi kuingilia au kuzuia hao wahusika uliowataja kuvaa hivyo kwanza siwafahamu na sijawahi wasikia.Sikupingi mkuu,bado kuna safari ndefu sana ya watu wa jamii Kama yako kua accepted kwenye society kwasababu kwa Mila na desturi, mwanamke kua na mahusiano na mwanamke mwenzake au mwanaume kwa mwanaume mwenzake it's unnatural. It's just against the nature. Bado kuna changamoto sana kwa kweli, halafu Bora hata mtu awe gay lakini anadress na kubehave like man, sio wale Kama kina dayon na kisura wa mbeya,
mkuu unatusemea homeboi tenaSikupingi mkuu,bado kuna safari ndefu sana ya watu wa jamii Kama yako kua accepted kwenye society kwasababu kwa Mila na desturi, mwanamke kua na mahusiano na mwanamke mwenzake au mwanaume kwa mwanaume mwenzake it's unnatural. It's just against the nature. Bado kuna changamoto sana kwa kweli, halafu Bora hata mtu awe gay lakini anadress na kubehave like man, sio wale Kama kina dayon na kisura wa mbeya,
Kwanza wee uliingilia mjadala usiokuhusu, sikua najibizana na wee,Unadhani nina tatizo binafsi na wewe mkuu, wala! Lakini sio sawa kuwa advocate wa LGBT kwenye society ambayo tunaona kushikishana ukuta Me vs Me sio sawa, huko chumbani fanyaneni tu coz it's your choice ila huku barabarani tuacheni jamani.
Sasa mzee unaleta picha za kuvalishana pete Me vs Me, au kulana mate Me vs Me wengine tunashindwa kunyamaza, kama sisi tulio straight hatuwezi kuleta picha za kulana mate mzee wewe unawezaje.
Sio poa bwana...
yako kua
. Hapo sawa.