Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Tuweke picha ila heshima ni Muhimu.Kwanza wee uliingilia mjadala usiokuhusu, sikua najibizana na wee,
Hiyo jamii gani unayosema kuwa sio sawa kwa LGBT? Hii ambayo kutwa kuzungumzia hiyo taasisi na wahusika wake?
Mbona hujiulizi siku zote sijawahi weka ila jana niliweka, na sio main post Bali ni comment ambayo nilikua namjibu mtu nkamuwekea na picha ili aone uhalisia wake.
Na hii ni forums wala sio barabarani km unavonasibisha wee, na pia hujakatazwa kuweka pic ukiwa unadendeka na fiance wako, uhuru ni wako weka tyuuu hakna atakae jali wala kuhoji. Labda km unaogopayako kua
. Hapo sawa.
Ukiona unakereka au kukwazika juu yangu, wee ni ignore na kun block kabisa. Kuepusha misuguano usiyokua na tija wala maana.
Dogo picha zako hazina maadili,una uhuru na jana nilisema binadamu wote ni sawa ila si sawa kuweka hizo picha.
Sikuingilii ila jiangalie sana,njia uliyoichagua si nzuri,bado unayo nafasi ya kurekebisha,Mungu ni pendo, ndiye njia na anatuonyesha njia...huko ulipo sipo kabisa
Mungu bado anakuhitaji,ubadilike.
yako kua
. Hapo sawa. 

