Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,323
- 95,698
Kuna mdada kaja kiduka cha mangi ,kavaa dela tu ndani hakuna kitu dah ..hilo wezere sasa ..aarh
Wewe kidukani Kwa mangi asubuhi yote hii unafanyaje🤣?Kuna mdada kaja kiduka cha mangi ,kavaa dela tu ndani hakuna kitu dah ..hilo wezere sasa ..aarh
Nazimua Rafiki nimetoka kusali misa ya kwanza..ila huyu mdada kaisha haribu kila kitu..anaonekana mlaini sana..haya makusudi anafanyaWewe kidukani Kwa mangi asubuhi yote hii unafanyaje🤣?
Ha haaaa lengo lake limefanikiwa....Duh Umeanza mapema sana mi ndio kwanza nazimua na fantaNazimua Rafiki nimetoka kusali misa ya kwanza..ila huyu mdada kaisha haribu kila kitu..anaonekana mlaini sana..haya makusudi anafanya
Hahahaha bora wewe umeanza na fanta..Ha haaaa lengo lake limefanikiwa....Duh Umeanza mapema sana mi ndio kwanza nazimua na fanta
Lengo gani...hahahahahaha..kaja kununua mayai yake mawili ila sasa..aah acha apate hata Pepsi aiseeHa haaaa lengo lake limefanikiwa....Duh Umeanza mapema sana mi ndio kwanza nazimua na fanta
.....kwa picha hii lzm tuamke salamaWakuu mmeamkaje Wapendwa wangu View attachment 2975872
Uko njema mkuu.....kwa picha hii lzm tuamke salama
Salama kabisa naona jpili iko vzr , umetublessUko njema mkuu
Yaani wakati anatupia Hilo Dela Chukuchuku lengo lake ni kudraw attention ya watu kama wewe,na hakika amefanikiwa....apewe Pepsi harakaLengo gani...hahahahahaha..kaja kununua mayai yake mawili ila sasa..aah acha apate hata Pepsi aisee
Wifi yake Mtu si tulikataa picha za ukungu?Wakuu mmeamkaje Wapendwa wangu View attachment 2975872
Bando langu kisha tupangiane matumizi 😁😁😁Wifi yake Mtu si tulikataa picha za ukungu?
Kwani bundle linauhusiano na picha HD wifiake Dogo?Bando langu kisha tupangiane matumizi 😁😁😁
Hahahahaha kama ni hivyo kafanikiwa..nimelipa mayai manne na Pepsi take away .Yaani wakati anatupia Hilo Dela Chukuchuku lengo lake ni kudraw attention ya watu kama wewe,na hakika amefanikiwa....apewe Pepsi haraka
Kwa nini nipangiwe aina ya picha ya kuweka kwa kweli mimi sitawezaKwani bundle linauhusiano na picha HD wifiake Dogo?
Sawa sawa. Kupangiana haitakiwiKwa nini nipangiwe aina ya picha ya kuweka kwa kweli mimi sitaweza
Hiyo ndio maana halisi ya ukizaliwa mjini ni degree😂😂😂Safi sana Napenda sana watu mnaojiongeza kama weweHahahahaha kama ni hivyo kafanikiwa..nimelipa mayai manne na Pepsi take away .
🤣🤣🤣🤣🤣Jitahidi maana hapo naona kama una karangi ka mtume ila kama unakuja halafu unakataaKwa nini nipangiwe aina ya picha ya kuweka kwa kweli mimi sitaweza
Hahahahaha sasa na yeye ajiongeze basi arudi tena afanye kasahau kitu , aaagh ..maana mangi analipa kwa namba hapaHiyo ndio maana halisi ya ukizaliwa mjini ni degree😂😂😂Safi sana Napenda sana watu mnaojiongeza kama wewe