geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
aisee ww dogo...umekubuhu wazaz wako wamekula hasara ww ni hasara kama hasara zingine za maisha
aisee ww dogo...umekubuhu wazaz wako wamekula hasara ww ni hasara kama hasara zingine za maisha
makibuyu
Hii view umeichukulia wapi mkuu?Ijumaa Mubarak View attachment 1677944View attachment 1677945
Duuh basi kweli parefuHapohapo
Ni zaidi ya nusu saa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]soda iliyochangamka....View attachment 1679165
Kitonga dk chache tu panaisha,zile Kona [emoji119]unaweza anguka ndani ya gari usipokaa sawa,na wenyewe walishazizoea yaani wanakimbia sana na ni parefu mno mimi nilishashindwa kuzihesabu.Duuh basi kweli parefu
Kitonga ni dakika kumi
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Aiseee natamani kweli siku nipate Route ya Mbeya - Dodoma ili nipite hukoKitonga dk chache tu panaisha,zile Kona [emoji119]unaweza anguka ndani ya gari usipokaa sawa,na wenyewe walishazizoea yaani wanakimbia sana na ni parefu mno mimi nilishashindwa kuzihesabu.
Madereva walishazizoeaLike Serious [emoji134]
Ila kama ulivyosema both ways ni mbaya na zinahitaji Umakini sana wakati Unaendesha.
Sawa grand Pa
Hujambo mkuuPresent
Mie sijambo eti, sijui weeHujambo mkuu
kalumbu your welcome soda iliyochangamka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa kweli aiseee
Vizuri sana kama hujambo eti!!Mie sijambo eti, sijui wee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo sentence ya pili,Vizuri sana kama hujambo eti!!
Mimi niko poa/salama kabisa kwa matumizi ya binadamu
Karibu