Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,133
- 11,124
Haha uliniona eeh nilikua nakimbia msala huku Jana nilikunywa pombe nimeamka saa nneUkaona ukija humu ntakuuliza habari za kanisani.
Nilikuona nikakupotezea
Haha uliniona eeh nilikua nakimbia msala huku Jana nilikunywa pombe nimeamka saa nneUkaona ukija humu ntakuuliza habari za kanisani.
Nilikuona nikakupotezea
Teh!!..Gamboshi tenaHuku kwema
Hofu kwenu gamboshi huko
watasema huyu binti umemtoa wapi anasema hajashiba ,, wakija wageni hua hawapiki hizi mboga hua ni vitu heavySasa wanakuta eti kwa watu nasema sitashiba
Mm mwenyewe bila ugali au wali na chai usiku naona kama sijakula
Vipi mzee ushachukua point 3 kule au unapigapiga kelele tu hapaVizuri sana kama huko ni kwema
Na huku kwetu ni kwema kabisa mkuu tupo salama kwa matumizi ya binadamu.
Yeye anasemaga halewi ana kichwa kigumu na hivi anasafiri asije enda kunitilia aibu ugenini Bora anywee chumbani kwake akiwa amejifungia
Kakaa World oil hajaleta vyuma vingine ? ?
MuoneHaha uliniona eeh nilikua nakimbia msala huku Jana nilikunywa pombe nimeamka saa nne
Bado mzee ajashusha kifurushi....saiz kifurushi ameshusha Asas na prime fuelsKakaa World oil hajaleta vyuma vingine ? ?
Kwahiyo ulikuwa unanitamanisha tu?Acha awe na moja tu akiwa na mbili zitamtesa
Mimi siwezi kulewa
Vizuri sana kama huko ni kwema
Na huku kwetu ni kwema kabisa mkuu tupo salama kwa matumizi ya binadamu.
Aiseee Transfuel huyoBado mzee ajashusha kifurushi....saiz kifurushi ameshusha Asas na prime fuels
sasa kwani chips ni chakula?watasema huyu binti umemtoa wapi anasema hajashiba ,, wakija wageni hua hawapiki hizi mboga hua ni vitu heavy
Nalewaje SasaYeye anasemaga halewi ana kichwa kigumu na hivi anasafiri asije enda kunitilia aibu ugenini Bora anywee chumbani kwake akiwa amejifungia
Now watakuwa wamejenga yard zaoAiseee Transfuel huyo
Alaf Primefuel wamehama pale T .O. T nini ? ? Naona vyuma vya ktransportation tuu
Hahahaha wanyaki bna mnapenda ugali bmkubwa nae dah anaeza kula ugali asbh mchana jionsasa kwani chips ni chakula?
Kule kwetu ileje bila ugali tunahesabu hatujala.
AseeeHahahaha wanyaki bna mnapenda ugali bmkubwa nae dah anaeza kula ugali asbh mchana jion