Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,180
- 11,267
Haiharibiki Ila ikikaa Sana inapoteza ubora Ila usifakamie tafadhali maana ni tamu Kama chaiNalewaje Sasa[emoji23]
Wewe nipe mi ntakunywa taratibu.
Kwani ikifunguliwa inaharibika nisipoimaliza?
Haiharibiki Ila ikikaa Sana inapoteza ubora Ila usifakamie tafadhali maana ni tamu Kama chaiNalewaje Sasa[emoji23]
Wewe nipe mi ntakunywa taratibu.
Kwani ikifunguliwa inaharibika nisipoimaliza?
Bora hata wanyaki wanachanganya na biazi kidogoHahahaha wanyaki bna mnapenda ugali bmkubwa nae dah anaeza kula ugali asbh mchana jion
Mimi siwezi kulewa mbona nilishasema humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haiharibiki Ila ikikaa Sana inapoteza ubora Ila usifakamie tafadhali maana ni tamu Kama chai
Mie pia napenda ugali Ila Sasa isiwe Sana hata Kama chura anapenda maji Ila sio Sasa ya Moto[emoji3][emoji3]Bora hata wanyaki wanachanganya na biazi kidogo
Sisi hapa ni ugali mwanzo mwisho.
Mimi haipiti siku sijakula ugali.. kama sio mchana basi ni usiku.
Mzee wa pwani wewe niandalie pweza.Aseee[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] wacha nicheke tu na vile Mimi kubishana na wew siwez nmechek ule Uzi wa eliasi wew binti yangu ni mbishi mnooooMimi siwezi kulewa mbona nilishasema humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata Mimi napenda Kawaida tu!Mie pia napenda ugali Ila Sasa isiwe Sana hata Kama chura anapenda maji Ila sio Sasa ya Moto[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23]Hapana mimi si mbishi ila huwa nasimamia ninachokiamini na si mtu wa kubadilisha msimamo hata iweje.[emoji3][emoji3][emoji3] wacha nicheke tu na vile Mimi kubishana na wew siwez nmechek ule Uzi wa eliasi wew binti yangu ni mbishi mnoooo
Simba tutampiga kiholela hayo majamaa mpaka yasiamini
Mikia fcSimba tutampiga kiholela hayo majamaa mpaka yasiamini
Sema nimekukubali [emoji3][emoji3] vijana uliwapelekea Moto wakaanza toka povu[emoji23][emoji23]Hapana mimi si mbishi ila huwa nasimamia ninachokiamini na si mtu wa kubadilisha msimamo hata iweje.
Mbona skuiona huyo jomoneeh mama mlezi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna comments ilinichekesha nilicheka ile siku tena ilikuwa usiku wa manane.
Aliandika"vichwa vya sayansi vinaondoka tu,juzi muddy physics yule ya mchikichini,Leo kihombo..eti janjajanja akina arts history wanazidi kudunda kwenye ardhi ya mola"
Yaani jf kuna kila aina ya kituko[emoji38][emoji119][emoji119]
Mmeshaenda kuwapokea airport nyie yebo yeboMikia fc
Japo wengine walinichamba[emoji13]Sema nimekukubali [emoji3][emoji3] vijana uliwapelekea Moto wakaanza toka povu
Maombi muhimu Mr .Mmekumbuka kwenda kanisani?View attachment 1666551
Uzi ulikuwa na vituko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mbona skuiona huyo jomoneeh mama mlezi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jomoneeeh mbona ni msituni lol,
Ilikua poa Sana Kuna jamaa fulani ulikua unambishia Mimi namjua ni mshua alikua rpc kahamia HQ alikuaga kule mkoa naoishi ni rafiki yangu alisemaga nimsetie jf isiwe inaupdate kwenye email nkaona user name yake ulimpelekea motoo[emoji3][emoji3][emoji3]Japo wengine walinichamba[emoji13]
Ila na mimi sikuwaacha bure,,hadi usiku wa manane nilikuwa naamka kujibu mapigo.
Umeharibu avocado hilo, aaaah dea mmmh