Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,182
- 11,268
Haha uliniona eeh nilikua nakimbia msala huku Jana nilikunywa pombe nimeamka saa nneUkaona ukija humu ntakuuliza habari za kanisani.
Nilikuona nikakupotezea
Haha uliniona eeh nilikua nakimbia msala huku Jana nilikunywa pombe nimeamka saa nneUkaona ukija humu ntakuuliza habari za kanisani.
Nilikuona nikakupotezea
Kipi?[emoji85][emoji85][emoji85]
Mchumba kuna kitu nasubiri toka kwako.
Teh!!..Gamboshi tenaHuku kwema
Hofu kwenu gamboshi huko
[emoji2][emoji2] watasema huyu binti umemtoa wapi anasema hajashiba ,, wakija wageni hua hawapiki hizi mboga hua ni vitu heavySasa wanakuta eti kwa watu nasema sitashiba[emoji134][emoji134]
Mm mwenyewe bila ugali au wali na chai usiku naona kama sijakula
Vipi mzee ushachukua point 3 kule au unapigapiga kelele tu hapa [emoji3][emoji3]Vizuri sana kama huko ni kwema
Na huku kwetu ni kwema kabisa mkuu tupo salama kwa matumizi ya binadamu.
Yeye anasemaga halewi ana kichwa kigumu na hivi anasafiri asije enda kunitilia aibu ugenini Bora anywee chumbani kwake akiwa amejifungia
[emoji134][emoji134][emoji134]
Kakaa World oil hajaleta vyuma vingine ? ? [emoji39]
MuoneHaha uliniona eeh nilikua nakimbia msala huku Jana nilikunywa pombe nimeamka saa nne
Bado mzee ajashusha kifurushi....saiz kifurushi ameshusha Asas na prime fuelsKakaa World oil hajaleta vyuma vingine ? ? [emoji39]
Kwahiyo ulikuwa unanitamanisha tu?[emoji134]Acha awe na moja tu akiwa na mbili zitamtesa
Mimi siwezi kulewa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Vizuri sana kama huko ni kwema
Na huku kwetu ni kwema kabisa mkuu tupo salama kwa matumizi ya binadamu.
Aiseee Transfuel huyoBado mzee ajashusha kifurushi....saiz kifurushi ameshusha Asas na prime fuels
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa kwani chips ni chakula?[emoji1787][emoji2][emoji2] watasema huyu binti umemtoa wapi anasema hajashiba ,, wakija wageni hua hawapiki hizi mboga hua ni vitu heavy
Nalewaje Sasa[emoji23]Yeye anasemaga halewi ana kichwa kigumu na hivi anasafiri asije enda kunitilia aibu ugenini Bora anywee chumbani kwake akiwa amejifungia
Now watakuwa wamejenga yard zaoAiseee Transfuel huyo
Alaf Primefuel wamehama pale T .O. T nini ? ? Naona vyuma vya ktransportation tuu
Hahahaha wanyaki bna mnapenda ugali bmkubwa nae dah anaeza kula ugali asbh mchana jion[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa kwani chips ni chakula?[emoji1787]
Kule kwetu ileje bila ugali tunahesabu hatujala.
Aseee[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha wanyaki bna mnapenda ugali bmkubwa nae dah anaeza kula ugali asbh mchana jion