Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ilikua poa Sana Kuna jamaa fulani ulikua unambishia Mimi namjua ni mshua alikua rpc kahamia HQ alikuaga kule mkoa naoishi ni rafiki yangu alisemaga nimsetie jf isiwe inaupdate kwenye email nkaona user name yake ulimpelekea motoo[emoji3][emoji3][emoji3]
Yesu wangu
Huyo nikikutana naye siku ananilima mtama[emoji13][emoji13][emoji1787]na nilivyokuwa na kimwili kidunchu[emoji86]

Yaani wangeona sasa mtu wanayebishana naye hata wasingehangaika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Shule yenyewe nimeishia form 4 nikasoma astashahada ya sports and games[emoji3]
 
Uzi ulikuwa na vituko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Yaani mdogo wangu kuna watu wa ajabu hii dunia.
Tafuta Uzi wa T.o Kihombo alianzisha baba swalehe uone jinsi watu wanavyopinga ugenius wa T.O aliyepata wastani wa 98 PCM..wanasema alibahatisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi wanaijua PCM au wana isikia? Kubahatisha kwa kipi? Aseeeh jf kuna watu wamevurugwa.
 
Yesu wangu
Huyo nikikutana naye siku ananilima mtama[emoji13][emoji13][emoji1787]na nilivyokuwa na kimwili kidunchu[emoji86]

Yaani wangeona sasa mtu wanayebidhana naye hata wasingehangaika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Shule yenyewe nimeishia form 4 nikasoma astashahada ya sports and games[emoji3]
Ndio uzuri wa jf hamna kutishana kila mtu ana maisha yake personal Yule mzee ni mtu mzima ana watoto hata wew mdogo Ila anasema jf anaikubali Sana na yeye alisomaga hkl akaja kusoma Sheria udsm Basi anaona art ngumuu [emoji3][emoji3]
 
Ninong'oneze jina lake[emoji85]
Kumbe nilikuwa nabishana na baba zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jf kuna vitu nafanya for fun tu..km kipindi kile nilikuwa nalala tu home,nikawa nabishana kusogeza muda.

Kila somo lina ugumu.
Shida yangu kwao ilikuwa moja tu!
Kwanini wanampinga jamaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi wanaijua PCM au wana isikia? Kubahatisha kwa kipi? Aseeeh jf kuna watu wamevurugwa.
Nadhani wanaisikia tu hawa watu wa vishazi tegemezi Wana shida Sana ndio maana Kuna mdau alisema ni janja janja haelewi kwanini bado wanaexist [emoji3][emoji3]
 
Yaani yule jamaa comment yake sikupenda ujumbe wake ila alinichekesha kinoma.
Yaani nilicheka usiku wakadhani nimerukwa akili.

Ule uzi unaweza kuvunja mbavu zako zote bila kutarajia.
 
Ninong'oneze jina lake[emoji85]
Kumbe nilikuwa nabishana na baba zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jf kuna vitu nafanya for fun tu..km kipindi kile nilikuwa nalala tu home,nikawa nabishana kusogeza muda.

Kila somo lina ugumu.
Shida yangu kwao ilikuwa moja tu!
Kwanini wanampinga jamaa
Jina lake sikupi wew endeleaga kumchokoza tu siku akupige mitama [emoji3][emoji3] na msala wangu juzi polisi nilisahau nilimkumbuka nikasema naomba mmpgie mzee fulani ndio mlezi wangu [emoji3][emoji3][emoji3] nikashangaa naitwa nitoke akasema nilikua wapi siku zote mpaka nimekaa hvo ndani
 
Mungu ambariki Sana aisee.
Sasa si unitajie tu jamani [emoji23][emoji23][emoji23] au unataka hadi nije pigwa mitama??
Au unataka hadi nikubembeleze?

Nitajie nimkumbuke kwenye sala zangu
 
Back
Top Bottom