geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
diiihVyote
diiihVyote
Hahaha hapo ndio goodnight usiku hutakiwi kula SanaKuna chakula kingine pembeni au ndio huto tuchips tu??
Hatutoshi hata kuonja.

Kwema.Leo sili mkuu
Vipi kwema lakini mkuu
Hizi kazi ni witoKweli kabisa! Kuna wengi wameenda kwenye unesi ilimradi tu yani ila hawapo huko kiwito kabisaaa

HeeHahaha hapo ndio goodnight usiku hutakiwi kula Sana![]()
sasa mbona nikija kwenu mtanitesa na njaa,ntalala njaa kila siku
Afu leo ukajidai kupotea hili jukwaa.Ntakuletea ishu ndogo mno hio utanipa location
Hakika!Hizi kazi ni wito na passion..
Ila kuna wajinga wanataka kuzichafua..
MUNGU hawezi pitisha uponyaji kupitia mtu mwenye roho mbaya![]()
Haha mdogo wangu hapa kasema yeye hawezi kula hizi ni mboga yupo kusonga ugali jikoni utaungana nae ukijaHeesasa mbona nikija kwenu mtanitesa na njaa,ntalala njaa kila siku
Hakuna chakula hapo
Asipokuletea hicho kinywaji mimi naomba nikutumie/nitakutumiabilldrago fanya kesho kuniletea hiki kinywaji.
Haiwezekani naishia kukiona tu humu kila siku.
Hahaha nilikua Uzi fulani tunabishanaAfu leo ukajidai kupotea hili jukwaa.
Tulikubaliana unaenda na mm kanisani.
Niletee 88 kesho..napita kwenda kyela.
Na wew mtumie ngosha awe nazo mbiliAsipokuletea hicho kinywaji mimi naomba nikutumie/nitakutumia
Ukaona ukija humu ntakuuliza habari za kanisani.Hahaha nilikua Uzi fulani tunabishana
Asantee sana msukuma.Asipokuletea hicho kinywaji mimi naomba nikutumie/nitakutumia
Asante, umetubakishia kweli???Karibu![]()
Sasa wanakuta eti kwa watu nasema sitashibaHaha mdogo wangu hapa kasema yeye hawezi kula hizi ni mboga yupo kusonga ugali jikoni utaungana nae ukija


Huku kwemaNa hata milele
Kwema mpendwa
Vizuri sana kama huko ni kwemaHuku kwema
Hofu kwenu gamboshi huko
Sawa ila ukilewa usisingizie pombe au shetani alikupitia.Asantee sana msukuma.
Nitumie tu hata zikiwa 10 si mbeya..unipe kinywaji,usinipe hela maana siwezi kwenda nunulia bia.
Acha awe na moja tu akiwa na mbili zitamtesaNa wew mtumie ngosha awe nazo mbili