Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Mwisho unajikuta upo Tbc unapiga zako mbizi watanzania Wana kuangalia liveHatari sana
Kujipa tabu za bure.
Ila mm kesho lazima niende hata iwe kwa kuogelea
Mwisho unajikuta upo Tbc unapiga zako mbizi watanzania Wana kuangalia liveHatari sana
Kujipa tabu za bure.
Ila mm kesho lazima niende hata iwe kwa kuogelea
Kabisa😂😂😂😂😂Mwisho unajikuta upo Tbc unapiga zako mbizi watanzania Wana kuangalia live
Mwaka ujao mbali sana kipenzi 😋Bwana Yesu asifiwe, walioko Mwanza karibuni kwetu leo tuna msend off binti yetu.
Niombeeni na mim mwaka ujao shemeji enu Kigi Makasi anipose.
Kaka Analyse jiandae kupokea mahali maan najua ntaombewa mpaka nifurahi.
Dar huko nasikia hali ni tete!😂😂😂😂
Ngoja niendelee kuzoa mafuriko
Maji yasije fika kitandani nikaelea
Huyo simtambui Mimi. Namjua vinci tuBwana Yesu asifiwe, walioko Mwanza karibuni kwetu leo tuna msend off binti yetu.
Niombeeni na mim mwaka ujao shemeji enu Kigi Makasi anipose.
Kaka Analyse jiandae kupokea mahali maan najua ntaombewa mpaka nifurahi.
We mzee huamini katika mapinduzi matukufu?Huyo simtambui Mimi. Namjua vinci tu
Sikutambui, wewe ni tapeli tu 😅We mzee huamini katika mapinduzi matukufu?
Sasa kwa taarifa yako mimi ndo Mr. KISAUTI, litakukuta jamboSikutambui, wewe ni tapeli tu 😅
Niko vizuri sasa hivi. Ukija kizembe itakula kwakoSasa kwa taarifa yako mimi ndo Mr. KISAUTI, litakukuta jambo
Avoshtuka Hapo ukute hata mlango hauoni 🤠!
Halleluiiiiiiijah!Mwaka ujao mbali sana kipenzi 😋
Vinci nishamuacha sitaki tenaHuyo simtambui Mimi. Namjua vinci tu
Eeeeh Kwa hiyo kesho kutwa tu mambo kwivaaaMwaka ujao mbali sana kipenzi 😋
Yesu angu
Dar hamna laana,Laana Iko Dodoma,..Isanga gereza la kunyonga watu,Milembe hospital ya vichaa,Ukame....Dar changamoto ndogondogo tu wajameni😁Lina laana hili jiji
Mimi kuna mzigo wangu nafuata mjini niondoke zangu
Kasheshe kufika huko posta..
Sijui nizungukie Toangoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sitaki njia yenye maji kabisa
Uwezo wa kuvuka maji nimejitwika mizigo siwezi.