Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ah kuchoshana tu hapoLazima aoneshe uwezo wake kwani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah kuchoshana tu hapoLazima aoneshe uwezo wake kwani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Haha
Ah kweli wengine hatujazoea bhana [emoji28]
Mfano mimi nimekulia mjini , sasa sufuria kubwa huku unampikia nani ?
Tulifurahi sana 😂Aiseee
Naomba stori nyingine captain.
Jamaa yako alisemaje baada ya kutua?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
We ni mjinga 🤣🤣🤣Mambo ya mbwa wa moto...
Na kweliHakuna rangi inamkataaga boss ledi
Wengine tukivaa hiyo tutakuwa kama wakulima wa mpunga kutoka Kyela.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mambo mengine bhana sio
🤣🤣🤣ivyo vidude vilivyo kaa kama vidudu nimeshindwa kula aisee..
vitamu au?
Hakna dea, sema labda n mila hiyo.Ah kuchoshana tu hapo
Duh[emoji1787]
Mila sio nzuriHakna dea, sema labda n mila hiyo.
Ni wivu tuMimi si cheusi mwenzio, uliona sijapendeza kwenye hiyo rangi? (Najisifia mwenyewe)[emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe unalo[emoji848]
Umeanza vizuriKwa nini unacheka?
Nimekumbuka mbali sana,
Nikiwa naelekea Istanbul nipo na jamaa angu(comrade), tunakatiza Atlantic Ocean, baada kama ya lisaa nilianza kuhisi hali si nzuri, pilot akatangaza hali si shwari kwani kuna mechanical issue na hawajui haswa tatizo linasababishwa na nini, jamaa akasema hawajui kinachoendelea zaidi ya kufanya water landing.
Ndege nzima ukimya ulitawala kulikuwa kuna watu wamelala ilikuwa usiku, naona flight attendants wanapita huku wanaenda kule sasa ndio walikuwa wanawachanganya abiria mimi nikiwemo kwani captain alikuwa hajatoa taarifa zaidi, yule mshikaji wangu alikuwa anatukana hovyo, anarudi huku kuangalia dirishani sijui alitaka apitie pale [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu anatukana mwenyewe " fuk,shit, fuuuuuk, nope it's ok, fuk, fffffuk" asee we acha tu, mimi hapo moyo unapiga si kawaida, ku survive water landing ni bahati sana , we acha tu, sikia kwa mwingine tu, unaweza kujisaidia[emoji23]
Thats why nimewaza hiko kisa baada ya kuona hio ndege ndio tulikuwa tumepanda A340, [emoji38] [emoji38] ni kama umenirudisha nyuma sana.
Thanks.
Naam[emoji23][emoji23][emoji23]
Noma
Sitasahau mara yangu ya kwanza kupanda ndege!
Kwahiyo nakuelewa sana
Mbezi Usiku
Wewe utasaidiwa na pepoDuh[emoji23][emoji119][emoji91][emoji119]
Pekeyake??
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kweli aiseebaharia katuangusha