Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,192
- 183,008
🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣 Anne mie simo😂😂Nikajua bibi harusi gani sijui
Chombo ya mlebanon[emoji91][emoji2096]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣 Anne mie simo😂😂Nikajua bibi harusi gani sijui
Chombo ya mlebanon[emoji91][emoji2096]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Thanks mamy!Nice dress😘
Yanii amenikoshaa!Simuachi!!
Mbona kipoozeo 🤔🤔🤔🤔!!😂Kwa niaba ya shekh kipoozeo
hongera sana mkuu kwa kujaaliwa neema za Allah
Sii picha zenu jamani...kasoro huyu mmoja naona ana tako hilo🤣🤣🤣🤣Nani kasema?
Ndio mwingine shangazi yule sina hamu nae walai!!Huyu fundi ni mwingine?
Kuacha yule aliyeshona nguo ya kitambaa cha maua?
Mzungu wa roho yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anne mie simo[emoji23][emoji23]
Mbona hamna tako🤣🤣🤣🤣Sema ulichotak kusema😂😂😂
Ndio mwingine shangazi yule sina hamu nae walai!!
Hakuna rangi inamkataaga boss lediUmeona balaa la bosi ledi? Na hiyo color unaikumbuka?
[emoji23] Wee umeona picha za wadada wote humu?Sii picha zenu jamani...kasoro huyu mmoja naona ana tako hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa!!Huyu yuko vizuri kakupatia hasa...
Hakuna rangi inamkataaga boss ledi
Wengine tukivaa hiyo tutakuwa kama wakulima wa mpunga kutoka Kyela.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yaani shangazi[emoji23][emoji23] acha vituko...
Umeshindaje?Marahabaaaaaa mjomba!!😜
Jinga weeeHakuna rangi inamkataaga boss ledi
Wengine tukivaa hiyo tutakuwa kama wakulima wa mpunga kutoka Kyela.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wengi wenu bwana nimeona ila mnavidole vizuri na miguu sexy...tako ndio changamoto[emoji23] Wee umeona picha za wadada wote humu?
Not at all, utapendeza vizuri tuYaani shangazi
Nimevuta picha ndio nimevaa mimi hiyo rangi, akiyanani nitakuwa kivutio cha watalii.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yaani shangazi
Nimevuta picha ndio nimevaa mimi hiyo rangi, akiyanani nitakuwa kivutio cha watalii.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app