Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kusonga ugali na jiko la kuni raha wewe,,,mikono yako yote inafanya kazi ya kupambana na mwiko.Mbaya zaidi ukweni uko ukienda hata kama wanauwezo wa gas; mkaa ila utakuta wanakupeleka kwenye jiko la kuni ukaungue na Moshi si huwa wanaamaana gani? Au ndio huwa mnatafutiwa sababu
Mimi hadi leo natumia kuni kusonga ugali maana sufuria inabana kwenye mafiga..hii inanirahisishia na kupunguza kazi ya kubana sufuria na mkono mmoja.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app



