Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kwendaa
Kwendaa
Wataelewa nini mkuu?Umeanza vizuri
Mahali sahihi
Wiki nyingi
Wataelewa tu
AnavunjikajeKama hiyo ni mauaji ya wazi kabisa.
Sufuria lote Hilo anaachiwaje mtu mmoja?
Si atavunja mikono jamani!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app




Mjipime piaOoh upo sahihi kabisa
Maneno hayaishi kwa familia zetu .. ah muhimu tuanze kujifunza tu mambo mengine .
Ugali najua kupika
Tena hasa kwenye jiko la kuni,,ndiyo maisha niliyokulia hadi sasa.
Ila hilo sufuria siwezi kupika aisee..
Kama uwaifu matirio inapimwa Kwa kusonga sufuria lote hilo mtu mmoja aisee mimi ningefeli.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
au bhasWell this is offensive WigeMjipime pia
Kama mimba zinashika
Hahha kweli .. mna mbinu zenu wenyewe .Kashusha silaha chini kizembe sana.
Watu hawa wanaojikutaga high classic tumeshawapiga sana matukio. Mtu akijifanya msanii we unakuwa msanii zaidi yake.
Wanaume tumeumbiwa mizigo mizito kama wanyamwezi haha😅Hahha kweli .. mna mbinu zenu wenyewe .
High classic wana mambo eti garbage collector 60K .
Ah kwa kweliWanaume tumeumbiwa mizigo mizito kama wanyamwezi haha![]()

HiviWataelewa nini mkuu?

MsingiWell this is offensive Wige
Kutoweza kufanya kitu haimaanishi usiweze vingine pia .

Msingi
Yaani hiyo la saba D
Sijawahi pita
Unaniongeleshaje kisomi sisteri asee![]()
Nani kasema ndege imetua baharini?Hivi
Kuna ndege imetua baharini
Watu wakapona![]()
vizuri hii inakeraNimeelewa nini
Fafanua
Nilikuwa na watch ID ya DstvNani kasema ndege imetua baharini?
Haha kwa msaada wa muumbaAh kwa kweli
Mnaweza kuyatatua vizuri kabisa![]()
Google ndo imetafsiri ..
Na umefafanua kweli
Hiyo ni man's natureHaha kwa msaada wa muumba