Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi bamia na mchicha vinaendana kweli au nitachemsha?
20220517_163410.jpg
 
Huku simiyu nimeshalipia Kodi yangu ya chumba mwaka mzima hapo kwa pesa iyo ya garbage collector.

Mbinu hizo huwa Zina involve kuazima magari ya wana

Ah huko vyumba vina bei nzuri
hapo mtoto anaingia laini mwenyewe ..au ile ya kumpigia simu rafiki yako na kuanza kuulizia kuhusu mzigo wako uliopo bandari

Ah ila ke sie tuna safari ndefu sio kwa kudanganywa huko dah
 
Nilikuwa na watch ID ya Dstv

Nikadhani naongea

Kumbe nimeandika

Kunradhi
Mimi nimekuuliza ulipaswa unijibu kuna mahala nimeandika ndege ilitua baharini? anyway Hudson River, New York ndege ilitua majini na hakuna hata abiria alifariki zaidi ya majeruhi.

Unafahamu retractible landing gear na fixed landing gear? ili nikueleweshe vizuri..

US_Airways_Flight_1549_%28N106US%29_after_crashing_into_the_Hudson_River_%28crop_2%29.jpg
 
Sema sindo mnavyopenda Bila uwongo uwongo hamkamatiki kirahisi.

Ukipigwa tukio ndio unapewa uhalisia ebana eh mi maskani temeke mikoroshini huku mbezi beach huwa nakuja kushinda tu na kupiga mission zangu

Hamna bora mtu ujue ukweli from day one ...hayo mambo ya kudanganyana sio kabisa .

Na ujue muongo yeye njia yake fupi soon anagundulika .
 
Yani hizi mila aisee
Inabidi nyingine tuziache tu
Mila za kuacha zipo ila siyo hii...

Niliwahi kutinga Misungwi na pisi ya Kiholanzi. Asubuhi wazee wapo pisi ikaingia kupika ugali wa kula wanaume wa Kisukuma karibia 8 na ugali ukatoka vizuri. Wazee wote weweeeee! Tumekula ugali wa mzungu...na utafikiri umepikwa na binti wa Kisukuma. Kumbe mzungu mwenyewe ame-volunteer sana kwenye orphanages huko Kenya na Uganda na anajua kupika ugali na ndizi hatari.

Usukumani huko at some point lazima ugali utaupika tu tena ugali kweli siyo mchezo.....
 
Mimi nimekuuliza ulipaswa unijibu kuna mahala nimeandika ndege ilitua baharini? anyway Hudson River, New York ndege ilitua majini na hakuna hata abiria alifariki zaidi ya majeruhi.

Unafahamu retractible landing gear na fixed landing gear? ili nikueleweshe vizuri..

US_Airways_Flight_1549_%28N106US%29_after_crashing_into_the_Hudson_River_%28crop_2%29.jpg
The miracle on the Hudson. Captain Sully Sullenberger aliupiga mwingi siku hiyo. Mungu Alikuwa naye
 
Mila za kuacha zipo ila siyo hii...

Niliwahi kutinga Misungwi na pisi ya Kiholanzi. Asubuhi wazee wapo pisi ikaingia kupika ugali wa kula wanaume wa Kisukuma karibia 8 na ugali ukatoka vizuri. Wazee wote weweeeee! Tumekula ugali wa mzungu...na utafikiri umepikwa na binti wa Kisukuma. Kumbe mzungu mwenyewe ame-volunteer sana kwenye orphanages huko Kenya na Uganda na anajua kupika ugali na ndizi hatari.

Usukumani huko at some point lazima ugali utaupika tu tena ugali kweli siyo mchezo.....

Nyie mnapenda ugali huko balaa
Huko kwenu ugali hauepukiki kabisa

Ooh huyo mdada yupo vizuri mno kwa wazungu si rahisi tena asonge ugali wa watu nane
She's a wife material indeed ...
 
Back
Top Bottom