Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh
Pekeyake??

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ndio peke yake
Ona hapo wameshikilia gauni tu wao
Na make up hiyo sasa
1652815787468.jpg
 
Nimecheka
Hebu nihadithie kingine nicheke tena

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tulifanikiwa kurudi tukatua Newfoundland, captain alikuja akaeleza kuna matatizo na wanafanya juhudi za kurudi kama tutafanikiwa kufanya emergence landing, so mungu ni mkubwa tuli land salama. hatukutua majini. Tulikuwa tunatoka USA, New Jersey, Newark.

Nina story za kuchekesha sana pia 😂 😂
 
Tulifanikiwa kurudi tukatua Newfoundland, captain alikuja akaeleza kuna matatizo na wanafanya juhudi za kurudi kama tutafanikiwa kufanya emergence landing, so mungu ni mkubwa tuli land salama. hatukutua majini. Tulikuwa tunatoka USA, New Jersey, Newark.

Nina story za kuchekesha sana pia
Aiseee
Naomba stori nyingine captain.

Jamaa yako alisemaje baada ya kutua?

Back
Top Bottom