Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Naomba wire kibamba huku 😅😅😅Sii picha zenu jamani...kasoro huyu mmoja naona ana tako hilo🤣🤣🤣🤣
Naomba wire kibamba huku 😅😅😅Sii picha zenu jamani...kasoro huyu mmoja naona ana tako hilo🤣🤣🤣🤣
Embu nikuone basi cheupe wanguSio mie huyo
Kwa nini unacheka?[emoji23][emoji23][emoji23]duh
Imebidi nicheke tu
Aisee[emoji91]Ooh yeah wapo vizuri kweli
Nimependa kweli wanavyoshona View attachment 2228507
Muda mwingineEmbu nikuone basi cheupe wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyooooooh!
Mie tena,,,,niache tyuh shousss[emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa nini unacheka?
Nimekumbuka mbali sana,
Nikiwa naelekea Istanbul nipo na jamaa angu(comrade), tunakatiza Atlantic Ocean, baada kama ya lisaa nilianza kuhisi hali si nzuri, pilot akatangaza hali si shwari kwani kuna mechanical issue na hawajui haswa tatizo linasababishwa na nini, jamaa akasema hawajui kinachoendelea zaidi ya kufanya water landing.
Ndege nzima ukimya ulitawala kulikuwa kuna watu wamelala ilikuwa usiku, naona flight attendants wanapita huku wanaenda kule sasa ndio walikuwa wanawachanganya abiria mimi nikiwemo kwani captain alikuwa hajatoa taarifa zaidi, yule mshikaji wangu alikuwa anatukana hovyo, anarudi huku kuangalia dirishani sijui alitaka apitie pale [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu anatukana mwenyewe " fuk,shit, fuuuuuk, nope it's ok, fuk, fffffuk" asee we acha tu, mimi hapo moyo unapiga si kawaida, ku survive water landing ni bahati sana , we acha tu, sikia kwa mwingine tu, unaweza kujisaidia[emoji23]
Thats why nimewaza hiko kisa baada ya kuona hio ndege [emoji38] [emoji38] ni kama umenirudisha nyuma sana.
Thanks.
Kumbe dogo tyuuh. Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini unacheka?
Nimekumbuka mbali sana,
Nikiwa naelekea Istanbul nipo na jamaa angu(comrade), tunakatiza Atlantic Ocean, baada kama ya lisaa nilianza kuhisi hali si nzuri, pilot akatangaza hali si shwari kwani kuna mechanical issue na hawajui haswa tatizo linasababishwa na nini, jamaa akasema hawajui kinachoendelea zaidi ya kufanya water landing.
Ndege nzima ukimya ulitawala kulikuwa kuna watu wamelala ilikuwa usiku, naona flight attendants wanapita huku wanaenda kule sasa ndio walikuwa wanawachanganya abiria mimi nikiwemo kwani captain alikuwa hajatoa taarifa zaidi, yule mshikaji wangu alikuwa anatukana hovyo, anarudi huku kuangalia dirishani sijui alitaka apitie pale [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu anatukana mwenyewe " fuk,shit, fuuuuuk, nope it's ok, fuk, fffffuk" asee we acha tu, mimi hapo moyo unapiga si kawaida, ku survive water landing ni bahati sana , we acha tu, sikia kwa mwingine tu, unaweza kujisaidia[emoji23]
Thats why nimewaza hiko kisa baada ya kuona hio ndege ndio tulikuwa tumepanda A340, [emoji38] [emoji38] ni kama umenirudisha nyuma sana.
Thanks.
Hatareeeeh sana.Sure inawaka hiyo
Usimbemende shos nawe sieeew [emoji23]Kumbe dogo tyuuh. Lol.
Nimeona huko siku ya mahari Bibi harusi anasonga ugali akiwa amevaa nguo zake
[emoji23][emoji23][emoji23]Ewaah [emoji2956]
Khaaaa[emoji848]makubwaNimeona huko siku ya mahari Bibi harusi anasonga ugali akiwa amevaa nguo zake View attachment 2228529
Unafikiri ni joke au hadithi 😂 😂 , its true..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado unaupiga mwingi Captain
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nimeshangaa eeh .... gauni lenyewe linaburuza hivyoKhaaaa[emoji848]makubwa
Duh[emoji23][emoji119][emoji91][emoji119]Nimeona huko siku ya mahari Bibi harusi anasonga ugali akiwa amevaa nguo zake View attachment 2228529