Ndio maana email yangu hujajibu? Kumbe umeiprint kisha umesahau karatasi uliweka wapiHa ha ha noma mkuu, huu upande mwingine View attachment 1250974
Mimi nikiwa ofisini ukinitumia email nina iprint kisha ninasoma [emoji23][emoji23][emoji23] old school
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe mbea
Naam...
Siku hizi ndio maana waona jamaa wa zamani hawapo sana huku...
Sisi wengine wabishi tu ndio maana bado tupo tupo...
Ila nyuma ya pazia huku, tunakutana like friends and not JF members (yaani kujuana hadi real names etc)
Mimi zangu zimepitwa na muda.
Yani kuna watu hawapendi kutongozwa jamani sijui kwaniniKumbe kweli amefunga pm?? Niliotea tu!!
Halafu weweHaya ni makofi ya kelebu wallah
Wafanya mchezo na helaninayoonekana ya bure kumbe sio rahisi rahisi...
Mbona fool tena😂😂Mkuu nakujibu kiurahisi kabisa
Darasa la saba nilimaliza kitambo
1. Nina Bachelor degreee moja
2. Master degree 1
3. Niliamua kusoma Phd, udsm 2015, nikaamua kuacha katikati
4. Nina postgraduate diploma in taxation 2018
Kisha
1. Nimejiajiri
2. Nimeoa
3. Nina watoto
4. Nimeajiri
5. My life is good actually mtu akisema vyuna vimekaza namuona anazingua
Na pia...
sina marafiki wengi ila ni kijana mla bata sana, mtu wa watu na sina tatizo na mtu.
Nimejikuta napenda sana kujiachia JF sababu ni sehemu ambayo nnachati na marafiki pamoja na maroboti kama wewe ambao mnakaa na kuanza kuumia moyo namna mtu anavyoishi...
Mwisho...
Nitumie namba yako niku bless hata 50k jioni yako iende vizuri fool
Mimi na wewe tukionana itakuwa mkutano wa mabubu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeleuwii nahisi nitakuja natetemeka, nyie nioneni tu huku napayuka hivi mimi kiuhalisia ni mpole na nina aibu jamani yaani kama ndiyo najuana na mtu kwa mara ya kwanza siwezi kuongea chochote zaidi ya kujibu atakachoniuliza tu.
Wala sijisikii vibaya!
Nilivyo na mdomo lazima utaongea tuu
Najua ulikuwa unaelekea wapi toa location ukaribishwe mjini
Mimi kwa ndugu siwezi kukaa..Maana mwisho wa siku wataona kama wananinyanyasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki ya nani tena,, siwezi jisikia vibaya maana nakuelewa,, sikatai mimi ni muongeaji na ninapenda sana utani ila ni hadi mtu nimzoee sana hauwezi amini kuna ndugu zangu tu hadi leo wanajua mie mpole maana nikienda kwao siongei kabisa,, basi nikisifiwa hivyo kuwa mimi ni mpole dada zangu utasikia wanaguna tu wanasema huyu tunamjua sisi hamna mpole hapa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Msamehe Mkuu, ni utani tuu!
Hiyo namba 4, naweza pata connection?!
Kama nani eti mkuu
Mwenzio yuko serious ujueMbona fool tena[emoji23][emoji23]
Hadi nimepata kicheko
Najua ulikuwa unaelekea wapi toa location ukaribishwe mjini
Umefurahi nini eti jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Chapombe Jana ulisema Nini kuhusu bia?Ndani ndani huko..chimbo la kitimoto choma
Harakati za kuisubiri nikajikuta tu tayari ninachochote kitu mkononi[emoji23][emoji23]View attachment 1250963
Kwaniii unafikiri hawasomiiUnataka niwataje hapa?? Hapana naogopa utawaita!!