Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Oohh Sawa
Mimi ndiye
Mimi ndiye
Hebu chafua huu uzi basiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji1787][emoji1787]nilikutag umuone crush wako
Nadhani niko kwenye list [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka niwataje hapa?? Hapana naogopa utawaita!!
Mkuu nnamsubiria atume namba, ipo 50k na kwako pia mda huu ni saa 18:39 kabla sijaondoka ofisini, tuma nambaView attachment 1251078
Wewe ndiyo ukagoma kabisa kutuma zako
Msemo wako kwenye namba 4 ndipo umenichekesaUmefurahi nini eti jamani
Huko taabu tupuChakechake
Nimelala mie DadaHebu chafua huu uzi basiiii
Leo wikiendiii
Nimemiss vibaya mno aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]kabisa our very own
Mimi na wewe tukionana itakuwa mkutano wa mabubu
Mfundishe tartibu tu,atafahamu.Hajui hata JF ni ni nini,nenda Juba South Sudan kwenye ofisi za Redcross yupo huu mwezi wote.
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo sinywi bia..nakunywa kilimanjaro
Mimi kwa ndugu siwezi kukaa..Maana mwisho wa siku wataona kama wananinyanyasa.
Huwa siendi kwa ndugu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Achana naye huyo mkuu,, hiyo pesa nitumie mimi nipo kwa wakala hapa..
Kwaniii unafikiri hawasomii
Haya ukuje huku Muheza
Unachekaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]