Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,848
Shukrani, na kwako pia.haya rafiki, uwe na weekend njema
Shukrani, na kwako pia.haya rafiki, uwe na weekend njema
Nimewahi kuonja, ladha mbayaaa nikatema. Nilikuwa nahisi bia ni tamu kama soda, maana unakuta mtu anakunywa hata 10.
Loooh sio kwa ladha ile[emoji134][emoji134][emoji134]
Utakuwa huolewi mkuu, na utakufa na vijiba vya roho, yaani wewe unafurahishwa na Blind-dating kama za JF
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pic full ndio ilikuwa ya kwanza kuituma humu mbona!!!
Sawa mkuu
Urafiki huwa unatokea tu automatic mnajikuta mnaclick, na cha kuongea huwa hakikosekani. Kama ambavyo ktk jamii huwezi kuwazoea watu wote na humu ni hivyo hivyo. Kuna mtu unakuta tu conversation nae inakuwa smoooth na cha kuongea hamkosi. Ila kuna mwingine mkisalimiana mnaishia hapo hapo.Umeona eenh?? Yaani mimi na wewe hatupishani sana,, maana huwa najiuliza hata nikikutana nao tunaongea nini sasa..[emoji1787][emoji1787]
Muombe yule cordis sijui manini najua atakuwa nayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah bila shaka ulishaifuta
Umeona eenh?? Yaani mimi na wewe hatupishani sana,, maana huwa najiuliza hata nikikutana nao tunaongea nini sasa..[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah mie ngoja nisiseme sana,, ila tu mkiona siku nimefunguka humu ndani mjue tu ndiyo zenyewe zinafanya kazi..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua baadae utaanza kutupia vitu useme unauchangamsha mwili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] si unaona sasa!Labda itokee tu..na hata ikitokea sitokunywa zaidi ya bia 5
Mimi lazima unione
Taka usitakeee
GOOD WEEKEND
Ndio kuchoka au?
Teh teh teeeeh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeleuwii nahisi nitakuja natetemeka, nyie nioneni tu huku napayuka hivi mimi kiuhalisia ni mpole na nina aibu jamani yaani kama ndiyo najuana na mtu kwa mara ya kwanza siwezi kuongea chochote zaidi ya kujibu atakachoniuliza tu.
Siku ukikutana na Mimi utajisikia vibaya[emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo Maana sitaki.
Yaani siwezi kuongea kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] si unaona sasa!