Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndani ndani huko..chimbo la kitimoto choma

Harakati za kuisubiri nikajikuta tu tayari ninachochote kitu mkononi
20191101_163606.jpeg
 
acha tu sema kinachofanya niwe hivyo ni aibu tu,, na pia huwa nawaza nisije nikaongea au nikaandika kitu kikamkera au kikamboa mtu..maana huwa sipendi kumkwaza mtu

Na katika maisha yangu siwezi kuishi na mtu aliye serious muda wote maana mimi napenda sana utani hivyo nitamuogopa,, na hata hapa JF tu kuna watu siwezi kuthubutu kuwatania hata kwa bahati mbaya..
Kama nani eti mkuu
 
Back
Top Bottom