Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress... Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya.. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya...
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha... Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia...
Solution hii HAPA sasa.... Utashangazwa na matokeo yake...!!!
.. Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani...Fanya hivi..! hapo ulipo tupia picha yako.. Ya sehemu yoyote mwilini... Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa... Mimi nitaaza na hizi.. View attachment 1217156View attachment 1217157View attachment 1217158
Ondoa shaka kabisaa mkuuUtaniambia bill PM na means ya kulipa, sawa mkuu
Sawa auntieUrafiki huwa unatokea tu automatic mnajikuta mnaclick, na cha kuongea huwa hakikosekani. Kama ambavyo ktk jamii huwezi kuwazoea watu wote na humu ni hivyo hivyo. Kuna mtu unakuta tu conversation nae inakuwa smoooth na cha kuongea hamkosi. Ila kuna mwingine mkisalimiana mnaishia hapo hapo.
Mie huonana na ambao atleast tuna pa kuanzia.
Lazima tuonane sasayeleuwii nahisi nitakuja natetemeka, nyie nioneni tu huku napayuka hivi mimi kiuhalisia ni mpole na nina aibu jamani yaani kama ndiyo najuana na mtu kwa mara ya kwanza siwezi kuongea chochote zaidi ya kujibu atakachoniuliza tu.





nimecheka hapo "ila kuna mwingine mkisalimiana mnaishia hapo hapo"Urafiki huwa unatokea tu automatic mnajikuta mnaclick, na cha kuongea huwa hakikosekani. Kama ambavyo ktk jamii huwezi kuwazoea watu wote na humu ni hivyo hivyo. Kuna mtu unakuta tu conversation nae inakuwa smoooth na cha kuongea hamkosi. Ila kuna mwingine mkisalimiana mnaishia hapo hapo.
Mie huonana na ambao atleast tuna pa kuanzia.



hivi hajakutaja jina tu bado??
Muombe yule cordis sijui manini najua atakuwa nayo![]()
Acha hayo maneno, mkukutana yatakuja tuu yakuongea
Ndio hivyo, kikubwa mnachoweza kuongea ni salamu tu mmemalizanimecheka hapo "ila kuna mwingine mkisalimiana mnaishia hapo hapo"
Haki vile huo ni ukweli kabisa kila ukitafuta cha kumuongelesha kwenye texts unajikuta unaandika unafuta unaandika unafuta hadi unaona bora uache tu muishie kwenye salamu japo mimi huwa najitahidi sana ku make friends



Teh teh teeeh!!nini sasa
Lazima tuonane sasa
Sijui hata, sikupitia comments zote.
Chukua hiyo..Tumeni picha bana



acha tu sema kinachofanya niwe hivyo ni aibu tu,, na pia huwa nawaza nisije nikaongea au nikaandika kitu kikamkera au kikamboa mtu..maana huwa sipendi kumkwaza mtuNdio hivyo, kikubwa mnachoweza kuongea ni salamu tu mmemaliza
Vingine vinagoma.