Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Weekend loading...View attachment 1250913
acha tu sema kinachofanya niwe hivyo ni aibu tu,, na pia huwa nawaza nisije nikaongea au nikaandika kitu kikamkera au kikamboa mtu..maana huwa sipendi kumkwaza mtu
Na katika maisha yangu siwezi kuishi na mtu aliye serious muda wote maana mimi napenda sana utani hivyo nitamuogopa,, na hata hapa JF tu kuna watu siwezi kuthubutu kuwatania hata kwa bahati mbaya..




Nasubiri.Ngoja niingie chimbo, maana wengine kupiga picha ni matukio hadi matukio.



huo ni uchochezi, ila Lizarazu mbona tumeshataniana sana huyo mwanzo ndiyo nilikuwa namuona wa ajabu ila kumbe ni mtu poa sana. Waulize Saint anne na cute b watakuambia


yaani namaanishaje ujue, tunatumia wote kukusaidia wewe kutumia..hehehe...sijui umeelwa lakiniiii?Hili swali hata sijalielewa, hivi uko serious mkwe?
huo ni uchochezi, ila Lizarazu mbona tumeshataniana sana huyo mwanzo ndiyo nilikuwa namuona wa ajabu ila kumbe ni mtu poa sana. Waulize Saint anne na cute b watakuambia
![]()




Just be real here and outta here...Ila kusema ukweli mwenyewe ninavyoongea hapa utadhani mie ndiyo nina huo ujasiri wa kuonana na mtu wa JF,, haki namuunga mkono joanah alijisemeaga suala la kuonana na mtu yeyote wa JF ni gumu sana tutataniana humu tutacheka ila kuonana daah..
Mwe mwe mweeeee!!yaani namaanishaje ujue, tunatumia wote kukusaidia wewe kutumia..hehehe...sijui umeelwa lakiniiii?



Ni addiction tu lakini sio nzuri...Utanishikia wewe dear
Mimi naonaga wanayapenda sana jamani
Nimeleta maji ya kunawa kwanza,, msosi unakuja sasa hivi..View attachment 1250941View attachment 1250943





Eenh??
Umefurahi eeehhh
Just be real here and outta here...
Zamani we used to hang out like a lot, i just miss em old days...
Anyway kila zama na kitabu chake
Utajua tuNifundishe na mimi kubet jamani