Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,285
- 108,302
Hahaha...popapooo
nimejikuta nalitamka hilo neno kwa sauti hadi nimejicheka mwenyewe
nimejikuta nalitamka hilo neno kwa sauti hadi nimejicheka mwenyewe



niko nagoogle hapa "how to slap someone through the phone" nikunase kofi sasa hivi
Na wewe hushindwiii kituu
Leo naona tag zinagomaa...Mimi sinywi kabisa
Mwili umechoka naupumzisha






Bia tena![]()
Sijui nitakuwaje nikinywa pombe walah![]()
Kwani uko wapi? maana ukute uko dasilama na mimi niko huku nanjilinjinijulishe fasta maana natoka hapa saa15.30 nikupe codes kama upo serious



hahahaHata mie sielewi kwa kweli
Haya wazee wa selfie fursa hiyo nawashirikishaView attachment 1250848
View attachment 1250849
Mtanisamehe ubora wa picha maana kamera ya simu nyang’a ny’anya hapo price ni 6000 per square meter
Nimewahi kuonja, ladha mbayaaa nikatema. Nilikuwa nahisi bia ni tamu kama soda, maana unakuta mtu anakunywa hata 10.Hujawahi kabisa??



Nifundishe na mimi kubet jamani
Utaalikwa kwenye MAOMBI mkuu🙂🙂🙂Kwani uko wapi? maana ukute uko dasilama na mimi niko huku nanjilinji![]()
Mi nshaonana nao kibao, kuanzia Arusha, Kigoma, Dar na Songea coz sidhani kama nina bifu na mtu humu
Mnialike tu jamani nami nije niijue dasilama.Utaalikwa kwenye MAOMBI mkuu🙂🙂🙂
Utakuwa huolewi mkuu, na utakufa na vijiba vya roho, yaani wewe unafurahishwa na Blind-dating kama za JFHata mie sina bifu na ntoto wa ntu ila basi tu sijui kwanini, au labda kwa vile mie ni bonge moja la introvert ndiyo maana.
Haya wazee wa selfie fursa hiyo nawashirikishaView attachment 1250848
View attachment 1250849
Mtanisamehe ubora wa picha maana kamera ya simu nyang’a ny’anya hapo price ni 6000 per square meter
Hili swali hata sijalielewa, hivi uko serious mkwe?na mkishinda si tunatumia wote?
Shule zikifungwa karibu saana mkuuMnialike tu jamani nami nije niijue dasilama.