Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila kusema ukweli mwenyewe ninavyoongea hapa utadhani mie ndiyo nina huo ujasiri wa kuonana na mtu wa JF,, haki namuunga mkono joanah alijisemeaga suala la kuonana na mtu yeyote wa JF ni gumu sana tutataniana humu tutacheka ila kuonana daah..
.
Tatizo langu la kutembea unalijua.
Yaani umefika Hadi tazarahapo jirani ningepiga moyo konde nije
 
Haya wazee wa selfie fursa hiyo nawashirikisha
IMG_9931.JPG

IMG_9932.JPG

Mtanisamehe ubora wa picha maana kamera ya simu nyang’a ny’anya hapo price ni 6000 per square meter
 
Ila kusema ukweli mwenyewe ninavyoongea hapa utadhani mie ndiyo nina huo ujasiri wa kuonana na mtu wa JF,, haki namuunga mkono joanah alijisemeaga suala la kuonana na mtu yeyote wa JF ni gumu sana tutataniana humu tutacheka ila kuonana daah..
Mi nshaonana nao kibao, kuanzia Arusha, Kigoma, Dar na Songea coz sidhani kama nina bifu na mtu humu
 
Ila kusema ukweli mwenyewe ninavyoongea hapa utadhani mie ndiyo nina huo ujasiri wa kuonana na mtu wa JF,, haki namuunga mkono joanah alijisemeaga suala la kuonana na mtu yeyote wa JF ni gumu sana tutataniana humu tutacheka ila kuonana daah..
Ni ngumu +u introvert wangu
 
Back
Top Bottom