Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Nimepitwa


Wajomba wa humu wanafuta picha fasta sana...
Baharia Biggie tu ndio hana noma wala nini






Wivu😅Mbona hukunistua best
Unafuta fasta sana ilinipitaWauweeeee 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸!
Ukabaji wa shati unategemea na nan kavuu..
Kuna baadhi ya miili inapendeza...
Na kuna wakina sie tukivaa ni kama katekista wa kigango cha mtakatifu teresia mtoto wa Yesu.

Nimepitwa
Wajomba wa humu wanafuta picha fasta sana...
Baharia Biggie tu ndio hana noma wala nini![]()






2pac wa buza.😘😉😉! Usisahau Tunasubiria ya kwa juu uncle!!!
Ngoja waanze wenzangu.Semeni hapa watu waone.![]()
jaman haya oneni wenyewe hiki nini sasa? Hata kumodolize ameshindwa,
Jaman mie leo nakufaaa kwa kucheka, wew ni katibu wa wizara?![]()
au basi ataku mu yukraine mwenye macho ya blue na blonde hair.. au mtanzania tu wa maswaaa
![]()


mbona imekaa sana tu bossi!!Unafuta fasta sana ilinipita
Coca sio kila mtu anapendeza na suruali za modo..
Zile zinafaa sana wenye miili midogo tena na inategemea na umri wake pia..






aaaaah wee si amodolize kidogo tyuuh, ndo kuachia bwanga hivyooo. LolNaona
😅😅😅 ni vi bukta, na vimini , nywele ziwe fupi au natural kama suruwale ile ya kushika mwili flani hivi sijui kipedo sijui shart sijui iwe kwa juu kidogo kama inaachia kitovu hivi na kashang kama ka gold hivi kamoja kanakuwa kama kanaoneka.. sunday basi ni mwendo wa kiofisi alafu kikuu huwa vinaongeza urembo wao marashi ya gucciw au versarch.. hatari sana alafu awe sport sport girl flani akila snikcer hatari au rabaa hivi nomaNilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa ipo slim imenikaa na shati ya mikono mirefu nimechomekea, na moka flani zimenyooka sana, nilikuwa nasubiria gari, nilikuwa nimening'iniza tai nyembamba kifuani.
Kuna dada mmoja alikuwa ananiangalia mpaka naingia garini halafu ilikuwa pisi ya maana, that day nilikuwa napata attention sana toka kwa wanawake wale early 30's and above.
Nilifahamu kweli wanawake wa umri fulani wanapenda aina fulani ya uvaaji.
Sasa mkuu wameshatusema sana kuhusiana na kuvaa mashati ya suruali na sisi tuanza kusema tunavyopenda.
Unasema nini coca? (in masantula's voice)
Hapo ukute ni tall dark guy kagonga vitu vyake sasaView attachment 2221557View attachment 2221559View attachment 2221560
Santo sana shangazi. watu wazima Tunaelewa hilo😘😘😘Coca sio kila mtu anapendeza na suruali za modo..
Zile zinafaa sana wenye miili midogo tena na inategemea na umri wake pia..
Cadet ina nini kwani?Sasa sio cadet mama malezi jaman. Kwan kila nguo lazima ichomekewe? Mmmh
Mmehamia kwetu sasa.ni vi bukta, na vimini , nywele ziwe fupi au natural kama suruwale ile ya kushika mwili flani hivi sijui kipedo sijui shart sijui iwe kwa juu kidogo kama inaachia kitovu hivi na kashang kama ka gold hivi kamoja kanakuwa kama kanaoneka.. sunday basi ni mwendo wa kiofisi alafu kikuu huwa vinaongeza urembo wao marashi ya gucciw au versarch.. hatari sana alafu awe sport sport girl flani akila snikcer hatari au rabaa hivi noma