Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

mtu wangu anapata sanaaa tabuuu maana mie napendaa utani to the maximum.. na kadri anavyo kasirika ndio nachochea motooo hadi a freez ndio tunaanza kazi ya kurudishana sawa kwa utani tena.. utani unafanya vitu flani viende

Kama mtu hajanizoea atakua anakasirika sana,napenda utani mno uliopitiliza...
 
Back
Top Bottom