Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,996
- 35,447
[emoji23] wewe sasa umeshindikana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Jaman kweli cadet anachomekea?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] wewe sasa umeshindikana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Jaman kweli cadet anachomekea?
Mjomba sijui ameanza upambe lini [emoji1787][emoji23][emoji23]!
😜😜😜😜😜🤣🤣🤣🤣😂😂😂!! 😉🙄🙄🙄🙄🙄
Mzungu wa mpakani hujui yupo Tanzania au Bulgaria anatatanisha hatari [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe kwa mwili wako utapendeza.Ukabaji wa shati unategemea na nan kavuu..
Kuna baadhi ya miili inapendeza...
Na kuna wakina sie tukivaa ni kama katekista wa kigango cha mtakatifu teresia mtoto wa Yesu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] jaman haya oneni wenyewe hiki nini sasa? Hata kumodolize ameshindwa,
😜😜😜😜😜🤣🤣🤣🤣😂😂😂!!🙄🙄🙄🙄🙄
au basi ataku mu yukraine mwenye macho ya blue na blonde hair 👱♀️.. au mtanzania tu wa maswaaa 🤠🤠🤠[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] shouzzz umevurugwa na nn?KDadeqqq [emoji119][emoji119][emoji119]
Shikamoo bossi[emoji8][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana afisa from TRA ... umetoka chicha mkuu ..
sema nini TRA mnatuua kinoma yaani [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Tupia kwanza basi rafiki.. mie kuchomekea nitadondoka aseee nitakuwa sipo comfortable kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] shouzzzz niache kwan khaaaah.
Unasema nini coca? (in masantula's voice)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Jaman kweli cadet anachomekea?
Mwaka kesho rafiki [emoji23] ngoja nikipiga ntaweka hapa. Mie mvivu sana wa picha.tupia hata ya mwaka kesho rafiki au mwaka juzi [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio bikira maria kimbilio la Wengi?Ukabaji wa shati unategemea na nan kavuu..
Kuna baadhi ya miili inapendeza...
Na kuna wakina sie tukivaa ni kama katekista wa kigango cha mtakatifu teresia mtoto wa Yesu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuchomekea kwa kweli hapana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] shouzzz umevurugwa na nn?
Kwa nini niutese mwili. Bwanga hapa ndio sehemu yake 😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] jaman haya oneni wenyewe hiki nini sasa? Hata kumodolize ameshindwa,
Jaman mie leo nakufaaa kwa kucheka, wew ni katibu wa wizara? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]