Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiwa unaenda kwenye sherehe huwa unavaaje mjomba..
Mie ni mtu wa casual 100%, nimejaribu sana ku shift nimechemka, hadi kuna vikao vingine ukiachana na sherehe ambavyo hawaruhusu casual ila huwa naenda hivyo hivyo ila kwakuwa wanashida na kichwa changu wananichunia na pia ni mtu ambae huwa napenda kuwa opposite na kundi kubwaaa la watu kwenye sherehe kwenda na sandals kawaida kabisaa 😅😅🙄
 
Ila wanamke wanapenda sana watu wao wapendezee hasa wanaume wao wawapendao
Nilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa ipo slim imenikaa na shati ya mikono mirefu nimechomekea, na moka flani zimenyooka sana, nilikuwa nasubiria gari, nilikuwa nimening'iniza tai nyembamba kifuani.

Kuna dada mmoja alikuwa ananiangalia mpaka naingia garini halafu ilikuwa pisi ya maana, that day nilikuwa napata attention sana toka kwa wanawake wale early 30's and above.

Nilifahamu kweli wanawake wa umri fulani wanapenda aina fulani ya uvaaji.

Sasa mkuu wameshatusema sana kuhusiana na kuvaa mashati ya suruali na sisi tuanza kusema tunavyopenda.
 
Semeni hapa watu waone.
 
Back
Top Bottom