Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna buti mjomba ametupia hapo huwa nazikubali sana wajomba wakivaa..

Travolta ni vya watu wa benki
Nimeiona shangazi, huwa nagongea kwa baba Mchungaji siku mojamoja.

Nilimaanisha boots za kupanda hivi na sio Travolta moka za wakuu

IMG_20220512_134844.jpg
 
😅😅😅 ni vi bukta, na vimini , nywele ziwe fupi au natural kama suruwale ile ya kushika mwili flani hivi sijui kipedo sijui shart sijui iwe kwa juu kidogo kama inaachia kitovu hivi na kashang kama ka gold hivi kamoja kanakuwa kama kanaoneka.. sunday basi ni mwendo wa kiofisi alafu kikuu huwa vinaongeza urembo wao marashi ya gucciw au versarch.. hatari sana alafu awe sport sport girl flani akila snikcer hatari au rabaa hivi noma
nakusoma mkuu.
 
Mie ni mtu wa casual 100%, nimejaribu sana ku shift nimechemka, hadi kuna vikao vingine ukiachana na sherehe ambavyo hawaruhusu casual ila huwa naenda hivyo hivyo ila kwakuwa wanashida na kichwa changu wananichunia na pia ni mtu ambae huwa napenda kuwa opposite na kundi kubwaaa la watu kwenye sherehe kwenda na sandals kawaida kabisaa

Yeah najua kuna watu wa aina hiyo...

Kama Easy E alivyoingia white house sio..
 
Back
Top Bottom