Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
Hapa tunaenda sawa.Kwanza mkaka anayevaa suti, sijui official namuona vipi yaan, nataka mkaka avae casual awww huwa navurugwa woiiiiiiih.
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunaenda sawa.Kwanza mkaka anayevaa suti, sijui official namuona vipi yaan, nataka mkaka avae casual awww huwa navurugwa woiiiiiiih.
![]()
Gonjwa mojasi nyama ya mbuzi hiyo umesema ina magonjwa
![]()
Hahaa.. Hivi hii si ndio popo kanyea mbingu au mimi ndio nachanganya madesa
Mkuu asante sana hii nimeiwahi leo 😃🙏🙏
Mkuu hilo ni la muhimu, ni jukumu la kila mtu kuliwakilisha vyema Taifa.🙂Kama uko na pisi, mechi njema mkuu. Tuinue kama taifa. Tetea jina na heshima ya ukoo wenu vyema![]()
Ningekuwa ninayo hii.. maana nimeanza kula meee toka tumboni mwa mamaaa anguuu hadi ma huu uzee wangu wa mchongo😅😅Gonjwa moja
Linaitwa gauti




Shangazi nlishindwa kujizuia, ilibidi nimchane tyuuh ukweli aaaah, sikua na namna.Ewaaaah wakaka wa casual huwa wanatumaliza mnooo.






Hahaa.. Hivi hii si ndio popo kanyea mbingu au mimi ndio nachanganya madesa






coca na mawardat tatizo umri bado na ujana ujana ndio unawaendesha sio kosa lenu! !Nikimuona mkaka kachomekea Shati jeupe sijui nahisi nini,,,
Usiniulize
Sent using Jamii Forums mobile app
coca na mawardat tatizo bado mna ujana ujana mwingi sio kosa lenu!





shouzzz kwamba tukizeeka ndo tuta taka wavaa suti? 


Hahah ...japo nguo inategemea na sehemu au tukio ila binafsi mwanaume mvaa vipensi au suruali zilizochanika chanika sijui! 🙌🙌🙌🙌!!!shouzzz kwamba tukizeeka ndo tuta taka wavaa suti?
Afu tuma selfie yako bhana, mic u shouga angu,![]()