Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umetamani ingekua wasapu eeh😂

Wee no za mafundi hapana.
Af kwetu mama na akina bibi ni wana miguu balaa nashukuru sijapewa no zao maana ningepata tabu kupata viatu vizuri.
Yaaan
Nikureply na kile kinyau changu kinachomwaga miuno 🤣🤣🤣🤣


Afadhali 😂😂 maana na huu utandawazi ungehaso hatari.
 
Wewe ni vejitarian

Lini umeanza kula mbuzi[emoji1787]

Hujui zina magonjwa[emoji848]
😅😅😅 Anachoma huku nimeshika ka kiuno.. hata watu wana UTI, pangusa , kaswende, covid, ukimwi etc... na wanahanishiana.. chagua uhamishie ka ugonwa na mbuzi au mwanadamu
 
Wewe ni vejitarian

Lini umeanza kula mbuzi[emoji1787]

Hujui zina magonjwa[emoji848]
Nikufungie nimtume boda boda akuletee
D6F55F12-D3D5-438D-8380-1B6E0A5AF1CF.jpeg
 
Hahahaa na unakipenda.

Naona umepata nguvu za kurud online😂😂
Nikajua hautarudi huku adi kesho jioni
🤣🤣🤣 kinamwaga miuno likely imeisha hiyooo


😂😂😂😂😂😂😂😂 niache nitalia ujue
 
Back
Top Bottom