Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Kweli eeh!! sema nyumbani wangekutafuta 😁 😁Ungenishtua jamani daah,sasa ona upo mwenyewe na mabegi yako[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli eeh!! sema nyumbani wangekutafuta 😁 😁Ungenishtua jamani daah,sasa ona upo mwenyewe na mabegi yako[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli sema nimtumie mjukuu kizawadi sasa hivi. Usije tu ukambembeleza mpaka akaku-unbloku. Naomba sana ubakie kwenye bloku daimaaaa !!!Kwema, then mjukuu wako kaniblock! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Leo shangazi umepoaaa.Amina
Na wewe pia...[emoji4]
Babu yangu ningemuhaga aisee,,au upo na pisi ya kichaga?Kweli eeh!! sema nyumbani wangekutafuta [emoji16] [emoji16]
Nimeshairekebisha hiyo post. Na wewe rekebisha hiyo uliyoikwoti. Nilitaka jina lako lisionekane.
Ni kweli aisee brother namuambiaga dogo ukiwa mkubwa piga pamba mademu watakufuata wenyewe,hata kama pesa hauna pendeza Dada zako tupo tsyari kukununulia pamba[emoji23],,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baraza la kata. Jaman mie sitaki khaaaah.
Kuna mkaka chuo yeye alikuaga mda wote ni suti tyuuh, au laaa suruali ya kitambaa na shat la mikono mirefu ya dukan,
Siku hiyo nkamtolea uvivu, nkamchana aache ujinga wake, avae casual aseeeeh now time akipiga cadet, tshet la 4m 6, simple, dadeki bonge la bwanaa yaan, afu lizuri hataree, limepanda hewan, akiweka na uchebe wa kuibia, ananamilizaga sana mbwa yuleee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nifanye hivyoNimeshairekebisha hiyo post. Na wewe rekebisha hiyo uliyoikwoti. Nilitaka jina lako lisionekane.
Huyu Fox namjua. Utakuja tu kum-unbloku....ngoja tuone kama angalau wiki kama itaisha!
Ubaya wako mjukuu unawaza mizagamuo tu. Wengine wanavaa suti casual za kishikaji kwa ajili ya heshima na utulivu wa ndani walionao. Nadhani ni tofauti ya mitazamo tu...Kwanza mkaka anayevaa suti, sijui official namuona vipi yaan, nataka mkaka avae casual awww huwa navurugwa woiiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁 😁
Duuuh. Pole sana,[emoji16] [emoji16]
Aah wapi, yaani nipo kinonge sana walau ningekua na kampani..
YeahSijawahi kujua, kweli watu na watuwe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu na wadogo zao mie dogo langu limeshakua janjarooo kitambooo.Ni kweli aisee brother namuambiaga dogo ukiwa mkubwa piga pamba mademu watakufuata wenyewe,hata kama pesa hauna pendeza Dada zako tupo tsyari kukununulia pamba[emoji23],,,,
tunajua dogo letu akipiga 4m6 zinamtoa kinyama na rangi yake mweeh na kule kudunda ooooh
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23]sasa mie nikitizama madogo zangu,najiona nishazeeka,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu na wadogo zao mie dogo langu limeshakua janjarooo kitambooo.
Nikimtazama mdogo angu, najiona mkubwaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toka hapa lol[emoji23][emoji23][emoji23]sasa mie nikitizama madogo zangu,najiona nishazeeka,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unakula wahidaKuna dogo huwa ananiletea waliokaangwa. We acha tu. Akiniletea tena nitakutonya doc. [emoji16]
View attachment 2221136
Ila coca [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baraza la kata. Jaman mie sitaki khaaaah.
Kuna mkaka chuo yeye alikuaga mda wote ni suti tyuuh, au laaa suruali ya kitambaa na shat la mikono mirefu ya dukan,
Siku hiyo nkamtolea uvivu, nkamchana aache ujinga wake, avae casual aseeeeh now time akipiga cadet, tshet la 4m 6, simple, dadeki bonge la bwanaa yaan, afu lizuri hataree, limepanda hewan, akiweka na uchebe wa kuibia, ananamilizaga sana mbwa yuleee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitashukuru sn mkuuKuna dogo huwa ananiletea waliokaangwa. We acha tu. Akiniletea tena nitakutonya doc. [emoji16]
View attachment 2221136