Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baada ya kujisaidia msalani, hakikisha unachunguza choo chako, unaweza ukajiokoa dhidi ya maradhi ya figo, Ini au kongosho. Endapo kama utaona mara nyingi choo cako kinaelea na inakupa ugumu ku flush hiyo inaweza ikawa ni dalili na hatua za mwanzo kabisa za tatizo la Ini au Figo au Kongosho. Itakuashiria kuwa mwili wako umeanza kushindwa kudhiniti fat na lipids hivyo utaweza kuchukua hatua za kurekebisha hali hiyo bila gharama kubwa za matibabu na haito kuchukua mda wako. Drink Acidophilus or Papain digestive enzymes inaweza kusaidia kurekebisha hapi.

This might be unpleasant post but can serve life of someone.
 
20220511_160545.jpg
 
Back
Top Bottom