Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikimuona mkaka kachomekea Shati jeupe sijui nahisi nini[emoji23],,,

Usiniulize

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza mkaka anayevaa suti, sijui official namuona vipi yaan, nataka mkaka avae casual awww huwa navurugwa woiiiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza mkaka anayevaa suti, sijui official namuona vipi yaan, nataka mkaka avae casual awww huwa navurugwa woiiiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ya kijana kuvaa suti kama anaenda kwenye baraza la wazee kwenda kusuluhisha kesi za mashamba[emoji23][emoji23][emoji23]

Hapana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba urudi na samaki nchanga Kaka

Nitakupokea mbagala[emoji3]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuna dogo huwa ananiletea waliokaangwa. We acha tu. Akiniletea tena nitakutonya doc. [emoji16]

tapatalk_1564249707945.jpg
 
Habari ya kijana kuvaa suti kama anaenda kwenye baraza la wazee kwenda kusuluhisha kesi za mashamba[emoji23][emoji23][emoji23]

Hapana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baraza la kata. Jaman mie sitaki khaaaah.
Kuna mkaka chuo yeye alikuaga mda wote ni suti tyuuh, au laaa suruali ya kitambaa na shat la mikono mirefu ya dukan,

Siku hiyo nkamtolea uvivu, nkamchana aache ujinga wake, avae casual aseeeeh now time akipiga cadet, tshet la 4m 6, simple, dadeki bonge la bwanaa yaan, afu lizuri hataree, limepanda hewan, akiweka na uchebe wa kuibia, ananamilizaga sana mbwa yuleee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom