cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,877
- 192,216
Yaan bonge la HIT tatizo hajafanya promo, afu wimbo umesimama hatareee,Mashairi yamesimama[emoji119]
Huyu jamaa fundi sana
Machawa wa domokaya kwa huu wimbo lazima wahare km sio kutapika. Woiiiiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]