Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,927
[emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji7][emoji7][emoji7]
Na wewe piaGod bless you all in here!
Wanawake mnapenda kubembelezwaKassim anaimba yule boya, anabembeleza chaaa.
Lalalalalallaalaaaaaaaa
Tazama sura yako ilivyo nzuri
Macho mazuri, najihisi rahaaa
Tazama midomo yako mizuri
Miguu mizurii, najihisi raahaa
Tazama unavyonipendeza nipendezaaa, Najihisi rahaa
Tazama ninavyokupenda Nnavyokupenda, Najihisi rahaa
Napenda unavyoniheshimu kiukweli japo sio sana nakuomba zidisha
Napenda kauli zako ni nzuri japo sio sana nakuomba zidisha
Wanaosema asali inazidi utamu kuliko mapenzi nakataaa
Wanaosema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa ayaayaaya
Usiende kwa mganga (usiendeeee baby wangu)
(Usiende mpenzi wangu)
Nisikize mpenzi wangu
Lalalalalalilihaaa lalahaalaaah
🥲🥲Grahams namrudisha sasa mjuukuu wako tumetoka hapa alikuwa sex ile mbayaaaa yani 😀😀😀View attachment 2205272
Hujambo kakaGlobalisation [emoji901]
Ndio pigo zangu hizo nikishavimbiwa😂[emoji3][emoji3]ulijuaje
Hivi wanaanza lini?Kwani wanakamatika sasahivi??? Kuna yenye yanajifanya vichwa unawaita chobingo uwape fainotachi ukazie ma posibos yenyewe yako chaka eti yanameza !!!
Sijambo mpendwa vipiHujambo kaka
Inaonekana ulifuma msg kama hiyo kwa shem wetu[emoji1]
SafiSijambo mpendwa vipi
[emoji23][emoji23]awee tutaenda hukohuko nmb tukayazungumzeInaonekana ulifuma msg kama hiyo kwa shem wetu[emoji1]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] unaonekana mtata sana[emoji23][emoji23]awee tutaenda hukohuko nmb tukayazungumze
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ya Kassim eeh?😂😂Mama mchungaji ebu weka na ka voice note kanogeshe hii nyimbo tafadhali
MuhimuWanawake mnapenda kubembelezwa
Maneno tu sinaujanja huo [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] unaonekana mtata sana
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]..nimecheka snSikufikisha… naomba niuseme hapa..Watasoma..
Kwa wote mnaomwita Satoh ‘dokta… muachee , maana yeye sio dokta na wala hajawahi kufikiria kuwa.
[emoji2215][emoji2215]