Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Cocoa butter ipi sio ile ya Resty inayouzwa 40,000 sijui au
Ooh kumbe hupendi marashi hivyo .. mimi sijali huu uso kabisa sipaki kitu
Hapana mie yangu ni 10k tyuuh, kopo kubwa, kat 7k, ndogo 5k.
Nachukuaga kopo kubwa, nakaa nayo had mwez mzima.

Mambo ya gharama hivyo siwezagi, nashukuru tyuuh still niko safi pia. Wala sisumbuki yaan
 
Hapana mie yangu ni 10k tyuuh, kopo kubwa, kat 7k, ndogo 5k.
Nachukuaga kopo kubwa, nakaa nayo had mwez mzima.

Mambo ya gharama hivyo siwezagi, nashukuru tyuuh still niko safi pia. Wala sisumbuki yaan

Ooh nikahisi hiyo
Cocoa butter huwa ni nzuri sana ... Harufu yake huwa nzuri sana .

Ooh yeah kikubwa kuenda na kile ukipendacho
 
Ukiwa na ngozi ya mafuta upo likely kupata chunusi hivyo inabidi uwe makini na unachopaka usoni .

Sasa upake mafuta siyo ndo hapo zitakujia vibaya . Wanashauri kama una oily face tumia lemon products ndo zinafaa .
Aseeeeeeh ahsante kwa somo, nisivyopenda chunusi au vipele,
Mbna ntalia sana, ngoja niwe makini sasa.
 
Back
Top Bottom