Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Kazi ya uumbaji ulio kamilika na Muumbaji akiwa na furaha...
Hahahaaaa... Asante mkuu japo kiazi mbatata tu mie 😉!!Kazi ya uumbaji ulio kamilika na Muumbaji akiwa na furaha...
Hata noti ya 10,000 haijijui thamani na uzito wake ndio maana hupeperushwa hata na upepo wa feni.Hahahaaaa... Asante mkuu japo kiazi mbatata tu mie [emoji6][emoji1787][emoji1787]!!
🙏🙏!Hata noti ya 10,000 haijijui thamani na uzito wake ndio maana hupeperushwa hata na upepo wa feni.
Simamia hapo pa kutojikweza... Tuachie sisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mnazipendea nini Heineken
Ukaribie mjomba 😍[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpendwa Anko salamaleko...
Samahani kipindi cha Pasaka nilikuwa nje ya nchi, nimerudi jana.
Naomba kesho nije kukusabahi
Nakutakia id njema
N watoto wasivae nguo mpya hawakuelew[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee iyo ela ya bia tununue kuku tu tule [emoji1787] [emoji1787] au unasemaje
Eid MubarakUkaribie mjomba 😍
Nimeiona basketMaisha ni SAFARIView attachment 2208976
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu huko, hata sitaki mie.Kwanza nakushonea gauni la marinda