cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,288
- 187,945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaa yaan.hahahHa...... niache nichitchat kusogeza masaa mie [emoji12][emoji12]!! [emoji1732]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaa yaan.hahahHa...... niache nichitchat kusogeza masaa mie [emoji12][emoji12]!! [emoji1732]
Kwani wanakamatika sasahivi??? Kuna yenye yanajifanya vichwa unawaita chobingo uwape fainotachi ukazie ma posibos yenyewe yako chaka eti yanameza !!!Wapige msasa madogo wa 6, NECTA iko mlangoni.
Haihitaji promo ile ngoma.Sasa mbna hajafanya hata promo? Katoa kimya kimya?
Kheeeeeh.
Mimi nitakuwa kamati ya mavazi tafadhali😂😂😂😂Sponsor km sponsor? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Card mbna nitagawa mapema mnoo, tena wadau wa selfika, watakua ktk kamati mbali mbali.
Usichukulie serious, hahahahah.
Mmmh humuelewi Kassim, hata Awena hukuielewa ? Aisee kati ya mafundi wa sauti ninaowakubali sana ni Kassim na BarnabaMimi simuelewagi ila huo wimbo wa I love you alimaliza kazi 🙌
WalaaMmmh humuelewi Kassim, hata Awena hukuielewa ? Aisee kati ya mafundi wa sauti ninaowakubali sana ni Kassim na Barnaba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekumbka mbali sana, yaan siku hiyo tcha kaniita kunipa manotes ya mwsho na maufund kidg, nkaea naona ananipotezea muda wa mie kumeza,Kwani wanakamatika sasahivi??? Kuna yenye yanajifanya vichwa mwalimu unawaita chobingo uwape fainotachi ukazie ma posibos yenyewe yako chaka eti yanameza !!!
Aseeeeh hii ngoma katisha, hata Seduce Me imepitwa.Haihitaji promo ile ngoma.
Itakuwa ni wewe tu hujaisikia mdogo wetu.
Ndoivo shos Next monday tarehe 9 wanaingia mzigoni![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekumbka mbali sana, yaan siku hiyo tcha kaniita kunipa manotes ya mwsho na maufund kidg, nkaea naona ananipotezea muda wa mie kumeza,
Aseeeh kuja pepa hivi, yaan km ningekosa kupewa ile last nomiees, ingekua hatar. Yaan nilikua nashuka tu. Hahahah nlimshukuru baadae.
Huu muda ndo walimu kuwajazia ya mwsho mwsho hao madogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakuja na viumbe wengine utashindwa kustahimili lazima uondoke eneo la tukio, hahaahahahMimi nitakuwa kamati ya mavazi tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nachinjia watu mlangoni
Yaan J3 hapo wako mahakamani? Duuuuh.Ndoivo shos Next monday tarehe 9 wanaingia mzigoni!
Ni zaidi ya gram 10 dada🥰👌Sijafanikiwa kuona… ni gram ngapi?
Makapu nehiiiii, niliyo nayo yananitosha.
Kwanza nakushonea gauni la marinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakuja na viumbe wengine utashindwa kustahimili lazima uondoke eneo la tukio, hahaahahah
i know, you know. Uwiiiiiiih
Mashairi yamesimama🙌Aseeeeh hii ngoma katisha, hata Seduce Me imepitwa.
Kiba ana balaaaa, yaan [emoji442]ziko maskion mdundo sasa.
Awwwww kiba kaua mbayaaaaaaa. Yaan [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ndio jikoni kunakopikwa chakula cha madent auHaya mazingira ni Hatari!View attachment 2208537
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] panasikitisha sana Mkuu!Ndio jikoni kunakopikwa chakula cha madent au
Majiko ya shule hayajawahi kuwa masafi. Japo msosi unakuwaga mtamu sana[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] panasikitisha sana Mkuu!
Majiko ya shule hayajawahi kuwa masafi. Japo msosi unakuwaga mtamu sana